Modem ya Zantel

Magehema

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
428
195
Wadau nsaada, nahitaji kutumia modemu ya Zantel ila sijui namna ya kutumia vifurushi mbalimbali ili kubana matumizi. Nikiweka salio la alfu 5 ndani ya dk 45 nakuwa sina salio! Msaada wadau
 

KIJOME

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
3,084
2,000
Very strange mboni haikubali inaniambia namba niliyopiga sii sahihi!

Nilisahau kukupa maelezo ya kutosha mkuu,ni kwamba inabidi uwe na laini ya zantel kwenye simu ndio utaratibu huo unaufuata baada ya kupiga hizo namba na kuna mahali utatakiwa ujaze moderm namba....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom