Modem ya Zantel EC168C inachakachulika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Modem ya Zantel EC168C inachakachulika?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tototundu, Feb 21, 2011.

 1. tototundu

  tototundu Senior Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Msaada tafadhali, nataka kuhamia Airtel wenye internet ya ukweli
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Haya ndo tuanayopambana nayo mkuu achana na kuchakachua!
   
 3. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  tototundu modem yako inasehemu ya kuweka lain?na je hiyo zantel yako ina lain?ama una connect bila ya lain inside?na hiyo modem ni ya zte au huawei?
   
 4. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  genekai umekuwa mlinzi wa kitu cha m2 binafc?in bongo ukinunua ki2 unaweza kukifanyia ki2 chochote coz ni mali yako..so akichakua or nt it is up to him.
   
 5. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  genekai kwa unavyotaka.ishauri gvrmnt iweke sheria ukinunua these stufs huruhusiwi kumodify.
   
 6. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  GENEKAI

  Wewe umelizika na maisha so waache ambao hawajakaa vizuri wajaribu na wenyewe......
   
 7. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  @bigmgen mmmh!
   
 8. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Duh! Sorry sana wakuu,sijui kitugani kimesabisha kila nikijaribu ku i edite yanajirudia ilibidi ni delete ile post, hapa nimemia mobile.
   
 9. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2011
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  naishi bondeni kimara tu hapa, moderm yangu ya zantel haifanyi kazi hadi nirudi hapa ubungo au nikasimame kilimani....hapa hapa dar...nimetumia laki yangu kununua hainisaidii...hawa zantel kama hawawezi waondoke tu jamani...wanakera..waongo wanajifanya wanaweza kumbe si lolote si chochote...ukiwa nazo, hata kibamba hapo tu hazikamati...zinataka watu wa city centre....
   
 10. tototundu

  tototundu Senior Member

  #10
  Feb 22, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  modem hii ni huawei, ina connect bila line, lakini pia ina sehemu ya kuwekea line
   
 11. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mkuu ni kweli inasehemu ya kuweka line? Me nadhani hiyo ni sehemu ya memory card.
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  let me wait here
   
 13. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio ni sehemu ya kuweka M. card.
  Fafanueni jinsi ya kuchakachua hii wengi tunasubiri utaalamu!
   
 14. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  duh hapo nimeinua mikono.tusubiri wataalam zaid waje..hiyo kitu wanalock kwenye network cjui.maana i saw da zantel guy i mean da worker anachukua imei ya modem anaingiza kwenye pc zao
   
 15. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  zinachakachulika guys kuna watu wana edit baadh ya setting kwnye network profile...ila hyo knowledge wanabania saaana yan hawatak kusema wala kushare..!! Ukitaka akuchakachulie unampa 60000 kama huna unachapika! Una2mia internet free mpk zantel watakapofilisika teh teh teh!
   
 16. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Wanapatikana wapi hao wachakachuzi?
   
 17. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Na inakuwa na speed fresh au mizinguo?
   
 18. a

  aklan Member

  #18
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hicho kitu chawezekana wacha watu waende chimbo kwanza, mkipata teknolojia hyo tujuzane wadau
   
 19. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,973
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Mkuu Toto Tundu:Zantel modem inatumia CDMA technology Airtel inatumia GSM technology hivyo basi uwezi tumia modem EC 168C katika Airtel Network
  EC 168C inaweza tumika TTCL na SASATEL tu laikini mpaka CDMA engineer Aiprogram na kusend Some info katika switch ya Sasatel or TTCL including ESN ya Modem hiyo.
  yaani uwezi kuiprogram mtaani bila kuhusisha mainjinia wa kampuni ya simu.
   
 20. a

  aklan Member

  #20
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa tufanyaje ili tuweze kutumia hizo za zantel kimagumashi?
   
Loading...