Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
kwa upande wangu mimi sijawahi kuagushwa na modem ya ttcl, napata speed nzuri tu, labda inategemea na eneo ambalo mtu yupo
Tofautisha kati ya Mobile and Broadband. Mobile is just mobile as the name says ttcl braodband ndio mpango mzima, na huwezi ibeba ukazunguka nayo mtaani.Niliamini TTCL wangekuwa juu na spidi ya kutosha ila bora voda ninayotumia maana ni hasara tupu. Rates zao pia ni utata na gharama pia. Kuna namna ya kupunguza huu ubahili wa hii modem katika kuachia data za kutosha?
Tofautisha kati ya Mobile and Broadband. Mobile is just mobile as the name says ttcl braodband ndio mpango mzima, na huwezi ibeba ukazunguka nayo mtaani.
Mobile Airtel Vodacom Zantel n.k Served on a usb modem Hiyo huduma ni mobile kama jina lilivyo, Broadband TTCL IWAY n.k Served on a desktop modem with a wire of some sort/ or wireless dish or mesh connected from the providerHebu nifafanulie hapa ndugu. Haibebeki vipi mtaani?
Mobile Airtel Vodacom Zantel n.k Served on a usb modem Hiyo huduma ni mobile kama jina lilivyo, Broadband TTCL IWAY n.k Served on a desktop modem with a wire of some sort/ or wireless dish or mesh connected from the provider
Upo sawa kaka na ipo fasta vibaya saana!TTCL broadband inayotumia line ya landline(waya inatoka kwenye nguzo zao kuja kwenye nyumba) ni nzuri haina tatizo kama mobile modem. Unlimited!
TTCL broadband inayotumia line ya landline(waya inatoka kwenye nguzo zao kuja kwenye nyumba) ni nzuri haina tatizo kama mobile modem. Unlimited!
natumia unlimited 512 ... ni kweli unlimited haina masaa. Sio banjuka