Modem ya halotel haionekani kwenye PC

madamajr

Member
Jun 8, 2012
30
11
Wadau naomba msaada modem ya halotel haionekani kabisa kwenye PC nikitaka kufanya installation. Naomba mwenye ufahamu wa hili.
 
Umeandika kama vile unahitaji modem ya halotel, kumbe shida yako ni kufahamu namna ya ku-install hiyo modem.
Toa specifications zaidi eg, os na ram ya komputer yako nk.
 
Umeandika kama vile unahitaji modem ya halotel, kumbe shida yako ni kufahamu namna ya ku-install hiyo modem.
Toa specifications zaidi eg, os na ram ya komputer yako nk.
window 7,ram ni 2gb mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…