Modem e303 huawei Zinaweza kutolewa lock?

Modem e303 huawei Zinaweza kutolewa lock?

wanatamani

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
415
Reaction score
145
Nimejaribu na zinatoka lock, nina muda mrefgu sijatembelea JF nilikuwa analogia wadau sijui kuna solution mmeshaweka ama niiweke maana nijije nikawa narudia ambacho kimesha fanywa
 
e2themiza aliweka kabisa na ya airtel ila mi naona poa ukiweka as unaweza kuwa unatumia style tofauti ambayo itawafaa wengine. think of it this way, kuna tweeter, fb na g+
 
Nimejaribu na zinatoka lock, nina muda mrefgu sijatembelea jf nilikuwa analogia wadau sijui kuna solution mmeshaweka ma niweke maana nijije nikawa narudia ambacho kimesha fanywa

HUAWEI E 173 na E303 pia Zte MF190 Zote zishatolewa ufumbuzi ila kama ni aina nyingine we tiririka tu!!!
 
wewe umewahi kutoa lock ya tigo huawei e303 kwa njia hii????
ndio maana tunamwambia aweke njia yake

Mimi nimetoaE303 ya tigo kwa njia ya Kimox Kimokole but baada ya kuiflash siku upgrade dashboard !!!!
kama jamaa ana maufundi ki vingine au tuseme shortcut aweke hapa sa mbona kasepa kiaina
 
Last edited by a moderator:
wewe umewahi kutoa lock ya tigo huawei e303 kwa njia hii????
ndio maana tunamwambia aweke njia yake

haven't tried it with Tigo yet, it wont hurt if the guy posts his technique i guess! Ila jamaa nmems2kia he kinda wants 2 do it 4 ca$h. wanatamani ??
 
Nimejaribu na zinatoka lock, nina muda mrefgu sijatembelea jf nilikuwa analogia wadau sijui kuna solution mmeshaweka ma niweke maana nijije nikawa narudia ambacho kimesha fanywa

Je, unataka kufungua huawei e303 Modem? Ndiyo maana unaweza kutembelea tovuti hii Prounlocking.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua e303 yako huawei Modem kwa urahisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom