thehunk
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 533
- 233
ndugu zangu nina modem yangu huwawei e153 nilijaribu ku i flash moja kati ya njia humu jf yani iweze kutumia line zote . sasa kilicho tokea ni kweli inasoma line yoyote kwa sasa ila kila nikitaka ku connect kwenye internet error message inatokea kuwa 'default configuration do not exist' naomba msaada waungwana mana inanisumbua