MOD Thread zinazohusu UDOM zinakwenda wapi?

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,009
2,171
Mod,
Niwiye radhi kama itakuwa ni tatizo la matumizi ya techno hii. Kwa siku kadhaa nimeshindwa ku-trace threads ambazo zinatueleza matatizo ya UDOM.

Ipo trd ambayo binafsi nilichangia nikieleza udahifu wa viongozi wa chuo hiki, pia siioni hata ktk post zangu binafsi imeondolewa.

Ni kosa langu kushindwa kuzitafuta au ni kosa Kuandika juu ya UDOM ambayo sasa imeonyesha wazi ni chuo kinachoongozwa kiwizi-wizi tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom