Mobistock wakala

Mobistock wakala

kiri12

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
638
Reaction score
558
Habari wandugu, napenda niwashirikishe wale wapenda maendeleo wote katika fursa ya kuuza vocha zote za mitandao yote ya simu kupitia line ya simu uliyonayo, wazungu wanaita online vocha,

Nawakaribisha mje niwaunge kuwa mawakala kupitia kampuni ya mobistock kwa mtaji wa shilingi elfu 10 tu, .

Jinsi ya kujiunga, unatakakiwa uwe una line kati ya tigo, airtel ama zantel, mojawapo kati ya hizo.

Unatuma majina yako kamili na namba yako ya simu unayotaka uunganishwe nayo kwaajili ya kuuzia vocha hizo.

Hakuna gharama nyingine ya ziada baada ya kujiunga, na wala haikulazimishi uwe unaitumia kila mara, unaitumia pale unapoihitaji tu na hakuna kufungiwa au kufutiwa usajili wako baada ya kujiunga , hata usipoitumia miaka namba yako ya uwakala inabaki palepale ni wewe kuweka pesa tu na kuendelea na biashara yako.

Kwa anayehitaji kuunganishwa na uwakala huu anipm taarifa zake kamili kama nilivosema hapo juu.

Linda mazingira, hakuna kutupa maganda ya vocha tena baada ya kuitumia

Karibuni wote,
 
Mkuu ni kuuza vocha tu? Vipi kuuza au kulipa luku,umeme na malipo mengine?
 
Unauza na lipia na ving'amuzi kama azam, startimes na vingine, ila umeme hakuna
 
Elfu 10 ni deposit yangu au ni gharama ya kuunganishwa?. Faida nitaipataje na ni asilimia ngapi kwa muamala?
 
Naweza kuitumia kutuma pesa au kuweka. Kama vile Mpesa?
 
Elfu 10 ni deposit yangu au ni gharama ya kuunganishwa?. Faida nitaipataje na ni asilimia ngapi kwa muamala?
Elfu kumi ndio mtaji wako, kampuni itakata 1000 tu, ila baada ya hapo hakuna makato tena pindi utakapokuwa unaongeza salio lako
 
Nakutumia namba kwa pm ila nitatumia kwanza nipata uhakika baada ya muda nakulipa elfu 12.
 
Mimi naomba unifahimishe jini ya kulipia luku, kuanganisha vifurushi vya halichachi, kulipia ving'amuzi 0719152715
 
Nakutumia namba kwa pm ila nitatumia kwanza nipata uhakika baada ya muda nakulipa elfu 12.
Hiyo elfu kumi unayoweka ni kwenye hiyo account yako, wala haiji kwangu, ukishaweka mtaji wako ndio utaweza kuifungua account yako, ambayo ni tofauti na tigopesa ama airtelmoney au ezypess yako, inakuwa inajitegemea kabisa, wewe utakachotakiwa kukishika ni password yako na kumbukumbu namba yako tu, ambazo ndizo utakazokuwa unazitumia muda wote kuingilia hiyo account na unapotaka kuongeza salio lako pale utakapohitaji
 
hilo salio unaongezaje na wap unaongezea?
Nikishauunganisha, kuna namba ambazo ntakupatia kama kumbukumbu namba zako pamoja na namba ya kampuni, ndio utakapoweka hiyo hela, yaani ndio utakuwa umeweka mtaji kwenye hiyo account yako, ntakupa password ambayo wewe utaibadilisha utaweka unayoijua wewe mwenyewe
 
Mimi naomba unifahimishe jini ya kulipia luku, kuanganisha vifurushi vya halichachi, kulipia ving'amuzi 0719152715
Luku saiv haiuzi, ila hivo vifurushi vyote ntakuelekeza
 
Hiyo elfu kumi unayoweka ni kwenye hiyo account yako, wala haiji kwangu, ukishaweka mtaji wako ndio utaweza kuifungua account yako, ambayo ni tofauti na tigopesa ama airtelmoney au ezypess yako, inakuwa inajitegemea kabisa, wewe utakachotakiwa kukishika ni password yako na kumbukumbu namba yako tu, ambazo ndizo utakazokuwa unazitumia muda wote kuingilia hiyo account na unapotaka kuongeza salio lako pale utakapohitaji
Salio unaongezaje? Na wapi unaongeza? Bank? Kwako? au kwa mpesa au tigo pesa
 
Ukishafungua acount na biashara kuendelea na baadae umepata faida, je ukitaka kutoa pesa unatoaje??
Hiyo kamisheni unayopata, unauwezo wa kuendelea kuiuza kama kawaida pale salio lako linapokuwa limekwisha, ila kuitoa kama pesa kawaida huwezi
 
Back
Top Bottom