Achimwene2014
Senior Member
- Jul 15, 2017
- 149
- 161
Je naweza kumuuzia salio mteja nje ya mtandao niliounganishwa?
Poa mkuuNdio unauza hadi ttcl na haotel wauza, kiufupi ni mitandao yote nchin tz unayoifahamu unauza kupitia line hiyohiyo uliyounganishwa
Ni pm
Mi nmeku-PMNi pm
NimekujibuMi nmeku-PM
Nashukuru nmekulewa,Nimekujibu
Naweza kuuza vifurush Mitandao yote tzHabari wandugu, napenda niwashirikishe wale wapenda maendeleo wote katika fursa ya kuuza vocha zote za mitandao yote ya simu kupitia line ya simu uliyonayo, wazungu wanaita online vocha,
Nawakaribisha mje niwaunge kuwa mawakala kupitia kampuni ya mobistock kwa mtaji wa shilingi elfu 10 tu, .
Jinsi ya kujiunga, unatakakiwa uwe una line kati ya tigo, airtel ama zantel, mojawapo kati ya hizo.
Unatuma majina yako kamili na namba yako ya simu unayotaka uunganishwe nayo kwaajili ya kuuzia vocha hizo.
Hakuna gharama nyingine ya ziada baada ya kujiunga, na wala haikulazimishi uwe unaitumia kila mara, unaitumia pale unapoihitaji tu na hakuna kufungiwa au kufutiwa usajili wako baada ya kujiunga , hata usipoitumia miaka namba yako ya uwakala inabaki palepale ni wewe kuweka pesa tu na kuendelea na biashara yako.
Kwa anayehitaji kuunganishwa na uwakala huu anipm taarifa zake kamili kama nilivosema hapo juu.
Linda mazingira, hakuna kutupa maganda ya vocha tena baada ya kuitumia
Karibuni wote,
naomba nami nielekeze namna ya kuunga vifurushi codes zake zinanichanganya kidogoLuku saiv haiuzi, ila hivo vifurushi vyote ntakuelekeza