mobile user must visit this topic

Alafu naomba nisaidie jinsi ya kutumia advance download manager napotaka kudownload movie kwenye android
 
smartphone za siku hizi zinataka hd hazitaonesha vzur site hizo

Shukurani mkuu ndio nilikua najihangaisha hapa , ila kwa ku download movie quality ya kweli naikubali app ya show box japo movie zake ni zaidi ya 1.GB.

Mkuu huwezi kua apdate huu uzi uwe kwa android.au android kila kitu ni Play store.....:ranger:
 
sio kilakitu playstore ila playstore inaezakuwa msaada kwa 70%
 
Na hiki kisimu changu cha 1340 MAH

Nahisi charge itaishia njiani
 
Chief huo uzi wa free internet kwa simu nimesearch sijauona. Tafadhali naomba msaada.
 
Asante mkuu nimeweza kudownload got s8 bila kwele thankyou....

am better here
 
Back
Top Bottom