MOBILE TEACHING PROGRAM(Mbeya Mjini)

MOBILE TEACHING PROGRAM(Mbeya Mjini)

osiahd

New Member
Joined
Mar 10, 2019
Posts
4
Reaction score
2
Je una ndugu/rafiki/mtoto ambaye ana matatizo katika masomo ya Sayansi hasa PHYSICS, CHEMISTRY & MATHEMATICS (kuanzia form one(I) hadi form six(VI) sasa hilo tatizo litabaki kuwa historia, sisi tupo tiyari kumfundisha mwanao au ndugu yako kwa kumfuata nyumbani hapo hapo katika mda wake wa ziada. Lakini pia tunafundisha na masomo yote ya shule za msingi kwa ada nafuu mno. Kumbuka walimu wetu ni mahiri sana kutoka chuo kikuu cha dar es salaam(UDSM). Tutafute sasa kwa no 0762903592 au 0718375431

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom