Acha kutafuta pressure wewe, kaa utulie
Sijawahi fanya huo ujinga hata siku moja, ukweli ni kwamba kufanya hivyo ni kujitafutia preshaYalishakukuta Eee
Jamn nlickia kwamba kuna huduma mspy imezinduliwa tz kwa liscence ya 230,000.00 je kuna ukweli wowote wadau?
Mke wangu
Ndo manaake huwez kumspy mtu unaemwamini.
sasa si mfanye uataratibu wa kuachana tu, kama ndoa hamna imani ndani yake hiyo sio ndoa, we utaishia kuchepuka na yeye ataishia kuchepuka ...
Sasa unapofanya maamuzi km hayo ni lazma ue na evdence otheryz huwez kueleweka.ts wt i wnt npate uhakika nw nahisi tu