Mobile Phone/Pc Fm Transmitter

Mobile Phone/Pc Fm Transmitter

Msherwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
1,323
Reaction score
1,230
Wakuu nahitaji mobile fm transmitter, ni kifaa kidogo ambacho hutumika kubroadcast audio kutoka kwa simu kwenda kwa fm radio ya karibu,

Nimejaribu Ebay na Amazon but sina Postal Code so imekuwa ngumu, Mimi niko Mwanza kwa aliyenayo anipm, please is urgently!!

attachment.php

Naona haukupata msaada wa haraka mmaana siku mbili tatu nimekua nikitua simu na JF App hivo ukini mention sipokei notification kwangu...

Kifaa hicho mimi sina ila kama hauna sanduku la posta basi fungua ni hela kidogo na ni ndani ya siku moja mpaka mbili litakua tayari au alternatively tumia la mtu unae muamini

Kma njia zote hazitowezskana nunua afu wambie waship kwa DHL hapa hauitaji P.O BOX bali tu namba yako ya simu na mahali unapoishi vinatosha kukufikishia mzigo
 
Mi nnazo hizo fm transmitter niliagiza ebay ila sikushauri ununue. Kama unataka kuzitumia kwenye gari, nakushauri ununue fm transmmitter za gari ila utafute zile zenye waya ambao unaweza kuuconnect kwenye simu. Hizi unazotaka wewe zina tatizo la kukaa na chaji kwa muda mfupi sana chini ya saa moja so utashangaa kanaisha chaji kinazima. Pia havina quality nzuri ya mziki. Jaribu kutafuta dizaini hii.. Hizi zinaingia flash, memory card, na kuna huo waya wa 3.5mm unaingia kwn simu. Pia zina port ya USB ambayo unaweza kuitumia kama chaja ya simu huku ukila mziki..
1pcs-red-Car-Kit-MP3-Player-Wireless-font-b-FM-b-font-Transmitter-font-b-Modulator.jpg
 
Mkuu, TheChoji asante kwa ushauri, nadhan ntachukua hii, na vipi kuhusu bei yake kibongobongo, maana online nimeziona mpaka za $3.9, vipi huku bongo bei inakuwaje
 
Last edited by a moderator:
Naona haukupata msaada wa haraka mmaana siku mbili tatu nimekua nikitua simu na JF App hivo ukini mention sipokei notification kwangu...

Kifaa hicho mimi sina ila kama hauna sanduku la posta basi fungua ni hela kidogo na ni ndani ya siku moja mpaka mbili litakua tayari au alternatively tumia la mtu unae muamini

Kma njia zote hazitowezskana nunua afu wambie waship kwa DHL hapa hauitaji P.O BOX bali tu namba yako ya simu na mahali unapoishi vinatosha kukufikishia mzigo

thumb up mkuu, i think ntaijaribu njia hii, japo itanibid niwait kias, sorry out of topic, ni mastercad gani inakubali vyema kulipia online maana mimi yangu ya CRDB inagoma kabisa kuwa registered paypal na sitaman kumpa detail za card yangu seller wa online, bank ipi ni afadhali au nifanyaje hapo, maana niliwasiliana na paypal wakaniambia niwasiliane na crdb nikapata uvivu kulingana na servicing rate ya customer care wa kibongo
 
Nenda CRDB jaza fomu ya maombi maana by default ziko disabled...

Kwa hapa Dar tuna plenty of options ambazo ziko pre-enabled kufanya hivo vitu...vipi Mwanza kuna UBA Bank?
Kama ipo nimesikia wana Card special za Online purchases

Alternatively kuna Banc ABC ambayo nafikiri iko A town na Dar tu
 
Nunu hizo hizo za gari,Tafuta mtaaramu akubadilishie power supply yake iwe kwenye usb format inawezakana,uko mbali,ungekuwa dar ningekusaidia.

-FM transimeter za gari kiuharisia zinatumia volt 5VDC,mle ndani kuna Voltage regulator(nyeusi hivi kubwa ina miguu mitatu)

-Kazi ya hii voltage regulator ni kupunguza umeme wa gari wa Volt 12VDC hadi 5VDC kwa ajiri ya matumizi kwenye sakiti ya kifaa husika.

-Mtafute fundi aitambue hii regulator ufanyaji wake wa kazi ni sawa na zile za kawaida mfano zile za lm78xxx

-Pia ajue Mpangilio wa waya za USB(kumbuka USB ports zina standard voltage ya 5VDC)Hivyo voltage regulator hapa haita tumika(ata jump voltage direct to the circuit)

-Kuhusu Audio kuna car fm card zinapokea external audio,hivyo atachukua sauti ya computer kwenye audio jeck yake na kui-connect kwenye card.

-Kama FM card haipokei external audio atafute manually audio input signals terminal then a-feed in!
 
Mkuu Transistor sijui nikushukuruje, Of coz YOU BEAT IT UP, hilo ndo lilokuwa linanisumbua, nimesearch sana online kuhusu kubypass voltage ziwe 5.6v bt ckufanikiwa,
hili ndo jibu la maswali yangu yote, BIG UP MKUU much respect,hizo process ntazifanya mwenyewe coz nina little advanced knowledge ya hizi transimitter japo induction coil ndo huwa inaniangusha mara zote (unstable frequency) ila sasa umenipa real dependable advice, thanks again ..
 
You're welcome!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mwenye tv sender & antena yake,mono price hd antena anicheki namba hii 0652887010 au sehemu ambayo naweza pata nisaidieni
 
Back
Top Bottom