sijawai ku brick phone na nimeanza kujifanyia manual upgrading and hacking miaka mingi tu. sio kwamba namshawishi mtu ila manual updates and jail breaks are fairly easy and its very hard to brick modern phones. hao waliobrick zao wana shida zao. na hata ukibrick android ina system recovery moja tamuy mno, two secs unarudisha simu back to default firmware