Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Nov 4, 2016 #1 Naomba kufahamu mobile data limit ktk simu ukiweka tiki au kuiondoa tiki kunasaidia nini!
Jitu Refu JF-Expert Member Joined Sep 9, 2016 Posts 823 Reaction score 812 Nov 4, 2016 #2 Husaidia kuweka kiwango cha MB unachotumia kwa siku au kwa wiki,kikifikia kikomo ulichoweka data hujifunga automatic
Husaidia kuweka kiwango cha MB unachotumia kwa siku au kwa wiki,kikifikia kikomo ulichoweka data hujifunga automatic