misorgenes
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 206
- 50
Whatsapp kwa watumiaji wa cm original.
Hivi nitapata wap gani free music downloads? waptrick wameondoa nyimbo.
OTIS.
kwa mobile softwares za ukwelii,. Getjar.com,,, cyber.wen.ru,,, nabster.wen.su,,, downloadz.com,,, mobile9.com
Za habari za michezo... Soccernet.com,,, m.goal.com,,, bbc.co.uk,,, shaffih.blogspot.com
Kudownload videos au audios hadi za kibongo..... tubidy.com,,, vuclip.com..
Facebook phone chating... Ebudy, nimbuzz
BBM
Kwa wenye blackberry tu!
Hii ni application ya Blackberry. Chamuhimu hakikisha unalipia ile subscription fee ya kila mwenzi or kila wiki kwa baadhi ya mitandao. Ukishalipia BB service unaifaidi BBM muda woteNimei install kwenye BB yangu nimeshindwa kuitumia kabisa
Mimi nimejaribu wanataka uwatumie vocha ya tiGO ya 1000/= ili wakutumie password niliwatumia vocha hiyo juzi tar 24.12.2011 lakini mpaka leo sijapata password nawapigia namba waliyotoa haipatikani. Naomba maelezo zaidi toka kwako.
Hii ni application ya Blackberry. Chamuhimu hakikisha unalipia ile subscription fee ya kila mwenzi or kila wiki kwa baadhi ya mitandao. Ukishalipia BB service unaifaidi BBM muda wote