CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,950 Reaction score 9,507 Sep 24, 2016 #1 Hello, Naomba kujua gharama za kutengeneza mobile application ,kuna application nataka itenegnezwe ni ya maswala ya kilimo sasa natafuta wanao tengeneza hizo applications za mobile hasa hizi android.
Hello, Naomba kujua gharama za kutengeneza mobile application ,kuna application nataka itenegnezwe ni ya maswala ya kilimo sasa natafuta wanao tengeneza hizo applications za mobile hasa hizi android.
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Sep 24, 2016 #2 Gharama ya app inategemeana na content yake sasa ni vyema ungeweka summary hiyo app unataka ifanye kazi gani?
Gharama ya app inategemeana na content yake sasa ni vyema ungeweka summary hiyo app unataka ifanye kazi gani?
Mama_Aheshimiwe JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 2,746 Reaction score 4,172 Sep 24, 2016 #3 Mgumu04 said: Gharama ya app inategemeana na content yake sasa ni vyema ungeweka summary hiyo app unataka ifanye kazi gani? Click to expand... Utamuibia kazi yake
Mgumu04 said: Gharama ya app inategemeana na content yake sasa ni vyema ungeweka summary hiyo app unataka ifanye kazi gani? Click to expand... Utamuibia kazi yake
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Sep 24, 2016 #4 Mama_Aheshimiwe said: Utamuibia kazi yake Click to expand... Sasa hata akiogopa je ikifika wakati wa kutengenezewa si ataibiwa tu wazo lake?
Mama_Aheshimiwe said: Utamuibia kazi yake Click to expand... Sasa hata akiogopa je ikifika wakati wa kutengenezewa si ataibiwa tu wazo lake?
Mtangoo JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 6,163 Reaction score 5,623 Sep 25, 2016 #5 Kama uko serious call 0754710410. Kampuni yetu hufanya hizo kazi