Mobile application

Mputi

Member
Joined
Sep 9, 2011
Messages
52
Points
0

Mputi

Member
Joined Sep 9, 2011
52 0
Guys nina mobile application ambayo inaweza kutuma sms kwa group of people. mf inaweza kutuma sms moja kwa watu zaidi ya 1000 af kila mtu akadeliver kwa specification tofauti mfano Hello Gerald ....; Helow Juma.... Inaweza kutumika na watu au kampuni tofauti, mf kama mamlaka ya maji kuwaremind wateja kulipa bili,kuwakumbusha madeni yao nk, au katika mashule kutuma matokeo ya wanafunzi kwa wazazi through their mobile phones, kwa ufupi inatumika kufikisha ujumbe wowote kwa watu wengi,ni software ambayo unainstall ktk computer. Kwa maelezo zaidi tunaweza kuwasiliana kupitia 0717767360, au gedmputi1987@yahoo.com
 
mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
1,329
Points
1,225

mojoki

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
1,329 1,225
@mputi why dont u make it easy for us mkuu...ondoa hzo restriction..
<br />
<br />
mtoto wa kike kaponzwa na bia kilichomkuta..mtoto wa kiume kadandia bia kashika ukuta...oya oya kaa ukijua...(ACHA KUPENDA VYA BURE BRO!).
 
Mputi

Member
Joined
Sep 9, 2011
Messages
52
Points
0

Mputi

Member
Joined Sep 9, 2011
52 0
Brothers what i mean here is a biznez,waweza tafuta company or organization ambayo inaweza kuhitaj ishu kama hii then from that u can get money frm each sms they buy kulingana na makubaliano yetu, siyo ishu ndogo brothers, we did the same thing kwa TUWASA (Mamlaka ya maji Tanga)
 
Mputi

Member
Joined
Sep 9, 2011
Messages
52
Points
0

Mputi

Member
Joined Sep 9, 2011
52 0
Guys nina mobile application ambayo inaweza kutuma sms kwa group of people. mf inaweza kutuma sms moja kwa watu zaidi ya 1000 af kila mtu akadeliver kwa specification tofauti mfano Hello Gerald ....; Helow Juma.... Inaweza kutumika na watu au kampuni tofauti, mf kama mamlaka ya maji kuwaremind wateja kulipa bili,kuwakumbusha madeni yao nk, au katika mashule kutuma matokeo ya wanafunzi kwa wazazi through their mobile phones, kwa ufupi inatumika kufikisha ujumbe wowote kwa watu wengi,ni software ambayo unainstall ktk computer. Kwa maelezo zaidi tunaweza kuwasiliana kupitia 0717767360, au gedmputi1987@yahoo.com
<br /> Brothers, What i mean here is a biznez, waweza tafuta Company or any Organization ambayo inahitaj application kama hii then unapata hela kutoka kwenye kila sms watakayo nunua, siyo ishu ndogo, we did the same thing kwa TUWASA (Mamlaka ya Maji TANGA)
<br />
 
Forum statistics

Threads 1,379,865
Members 525,596
Posts 33,759,100
Top