GE2025 Mo29 ni kesho

GE2025 Mo29 ni kesho

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Matovu Godfrey

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
810
Reaction score
519
Ni kesho.

Screenshot_20251028-144522.png


Oktoba 29 tunatoka
 
‼️🚨TUPO TAYARI KUKUSANYA TAARIFA NA USHAHIDI‼️
Call centre ya Oktoba 29 imekamilika.
Unaweza kutuma ujumbe kupitia Whatsapp, Signal na Telegram
Pia unaweza kutuma SMS na ujumbe wa sauti
Na wakizima kabisa mitandao tumia RelaySMS
Call centre ni salama na server ziko nje ya nchi na wabobezi wa maswala ya usalama wa kidijitali!
Safari ya ICC ya madhalim yataanzia hapa!
Tumia vyema simu yako kurekodi ushahidi
#MO29
#OktobaTunatoka
20251028_160248.jpg


@MariaSTsehai /X
 
@MariaSTsehai /X
Wasambazaji wakubwa wa taarifa za upotoshaji ni serikali na machawa wa Mama! Ila hamjawahi hata kutoa onyo!
Yana mwisho haya na very soon #TutaelewanaTu
20251028_161017.jpg
 
Maria - Xspace
Leo tutakuwa na #MariaSpaces maalum masaa chache kabla ya #MO29
Tunajadili kifupi na kuombea nchi na watu wake
Itakuwa Space fupi karibuni mtakaoweza!
20251028_170758.jpg
 
😆😆😆😆 anayekuhamasisha yupo zake Kenya huko anakunywa mvinyo ukivunjwa ugoko Una Baki wewe na familia yako
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom