Shahidi namba moja ni @atotoArrggh ye shahidi namba moja
Tena second year,mtu mwenye majukumu hawezi kuandika hivyoWe sinia mamba unachowaza ni chuo tu
Kwa hizo sifa ulizonazo hata wanaokuacha nadhani huwa wanajuta sana baadaye, penye miti hapana wajenzi🤫Sijui kuacha mimi naachwa tu