Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,234
Jamani uchawi upo. Kupitia clouds fm kipindi cha kubwa kuliko msanii Mo Music na meneja wake wamethibitisha kuwa wamepigwa mabusha na promota waliyemdhurumu. Promota makunganya aliwalipa milioni moja na nusu ili wakapafomu huko Shinyanga siku ya show wakaingia mitini. Baada ya kuwatafuta kwenye simu bila mafanikio promota aliamua kwenda kufanya yake. Hivi sasa wanahaha huko kijijini kumtafuta ndugu promota ambaye anasema bila milioni sita wataendelea kupata joto ya jiwe.
Mytake 1
Mo music ni msanii cheap yaani anaperform kwa milioni moja?
Mytake 2
Jamani tuwe waaminifu uchawi upo.
Mytake 1
Mo music ni msanii cheap yaani anaperform kwa milioni moja?
Mytake 2
Jamani tuwe waaminifu uchawi upo.