kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Asante manara
🤣🤣🤣🤣🤣Aliuza wachezaji na akanunua mabasi.
Sasa imegeuka.
Auze mabasi anunue wachezaji.
Umemaliza?View attachment 1956521
Kwani ni mara ya kwanza kwa Simba kucheza kwenye uwanja wa dizaini hiyo? Simba hao hao wamecheza na biashara kwenye hivi viwanja dhidi ya Biashara msimu iliyopita na kupata matokeoNa.nature ya uwanja imeua mipango.ya kocha na wachezaji kwa ujumla
Sawa mwanzo mgumu na pia ujue ushindani mwaka huu utaongezeka hivyo tuwe na subira kwa maana kila.kizuri ni.mipango.na changamoto kama za leo. Japo kwangu mimi.leo.walicheza vzr.Kwani ni mara ya kwanza kwa Simba kucheza kwenye uwanja wa dizaini hiyo? Simba hao hao wamecheza na biashara kwenye hivi viwanja dhidi ya Biashara msimu iliyopita na kupata matokeo
Hapo sawa. Ila sio kuzingia uwanja wakati msimu uliopita Simba imecheza kwenye viwanja hivi hivi maana viwanja vizuri Tanzania ni vya kuhesabika lakini Simba walipata matokeoSawa mwanzo mgumu na pia ujue ushindani mwaka huu utaongezeka hivyo tuwe na subira kwa maana kila.kizuri ni.mipango.na changamoto kama za leo. Japo kwangu mimi.leo.walicheza vzr.
Dro tu wameanza kupiga keleleGari likiwaka.mtaanza kusifia hakuna kitu utafanya kila.siku wewe ushinde wewe tu haaahhhh. Tujifunze kuwa na subira. Katika imani subira ni tiba. Simba haija anza vibaya hii ligi imeanza vzr na uwanja umewaharibia plan zao leo.
Noma.saana. duniani.kitu rahisi.ni.kukosoa tu.ila.kuwajibika ndio tunaanza kukimbiana.Dro tu wameanza kupiga kelele
Account inasomaje..? Mhasibu wa simba sport club (joke on you)20bil bado hazonekani kwenye akaunti
Biashara wamejutahidi kuonesha uwezo japo uwanja ulitunyima kuona utamu wa mchezo wa leo. Ule uwanja ufungiwe tu aisee hatari saana uwanja uleHapo sawa. Ila sio kuzingia uwanja wakati msimu uliopita Simba imecheza kwenye viwanja hivi hivi maana viwanja vizuri Tanzania ni vya kuhesabika lakini Simba walipata matokeo
Duh,Mugalu hakukosea kuwaita Wanafiki. So ndio nyie msimu uliopita mlikuwa mnasema biriani linapikwa popote pale.Na.nature ya uwanja imeua mipango.ya kocha na wachezaji kwa ujumla