SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,442
Na wakikutana kwenye FA? Au kichwa hakijawaza hayo? Au wataikataza isishiriki?
Mbona urayaMbona n kawaidah sana kwenye team nyingi barani uraya

Uzuri wa mashabiki tunapenda kuona mafanikio sio bakuliSASA WATU NDIO WAELEWE KUWA MO anatamani sana AIMILIKI SIMBA.. ANATAKA KUTUMIA JINA LA SIMBA SPORTS CLUB ili kupiga mishe zake kibiashara..
Kwani hujasikia leo mtatembeza sufuria kabisa siyo bakuliUzuri wa mashabiki tunapenda kuona mafanikio sio bakuli
Waliuzaje right kwa mwingineDaaaaaaah ka Barcelona vile. Mana Barcelona wana timu B, ambayo ilikua kua inashiriki senguda A mwaka Jana ndo ilishuka daraja saizi ipo senguda B. Na kuna msimu ilipanda daraja wakauza right za timu.
"Ikiwezekana tuwanunue wale mashujaa wasianze kutusumbua Kwenye FA ( joking) "
"IGA ufe, This is the next level "
Miaka miwili!? Are you serious?Mo watu waliomzunguka vilaza..hiyo hela ya kununua timu angejenga academy ...akusanye Vijana robo tatu wabongo na robo kutoka Africa nzima..baada ya miaka miwili itaanza kumlipa...
Anataka kuipangia serikali cha kufanya, sijawahi sikia hiyo Duniani! !!!MWEKEZAJI wa Simba,
Mohamed Dewji amesema
watapeleka maombi yao
Shirikisho la Soka nchini ili
kununua timu ya daraja la
kwanza. Timu hiyo itakuwa na wachezaji
wanaotoka timu yao ya vijana ya
Simba na endapo watakubaliwa
watakuwa na timu itakayoitwa
Simba lakini ikishiriki Ligi Daraja la
Kwanza. Mo Dewji amesema endapo timu
hiyo itafanikiwa kupanda daraja
hawataipandisha Ligi Kuu kwank
sheria haitawaruhusu kuwa na
timu mbili ligi kuu zenye jina moja.
"Lengo ni kutoa burudani zaifi kwa mashabiki wetu na kuweka
ushindani mkubwa katika soka,
tukikubaliwa tutanunua timu na
itaitwa Simba ila itashiriki ligi
daraja la kwanza.
"Hatutairuhusu kushiriki ligi kuu hata kama itapanda kwani sheria
hazitaruhusu, tutatoa burudani
huku huku chini," amesema Mo
Dewji.