Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kesi hii ni kubwa ,hivo atalipaKwahiyo kuna malipo au chochote anachotakiwa kucompensate.
😂😂😂 kila mtu akimshtaki si watamfilisi jmnBakhresa ana subiri mini na yeye kwenda kumshitaki...!!maana kampuni ya Mo imeiga bidhaa nyingi toka kwa bakhresa
😅😅sasa mtu gani anaiga... Mpaka kapitiliza tena bila hara haya😂😂😂 kila mtu akimshtaki si watamfilisi jmn
Ndio biashara za kibongo zilivyo. Unafungua duka la mangi hapa, ukianza kupiga hela na majirani wanafungua mawili kukuzunguka.😅😅sasa mtu gani anaiga... Mpaka kapitiliza tena bila hara haya
Sasa yule alipaswa kuonyesha utofauti.... Alikwenda kusoma USA ili aje kufanya hayo ma-copy and paste?Ndio biashara za kibongo zilivyo. Unafungua duka la mangi hapa, ukianza kupiga hela na majirani wanafungua mawili kukuzunguka.
Bakhresa ni Sunni ndiyo maana sadaka zake mnaziona maana Sunni Waswahili ni wengi. Mo yeye Shia anatoa kwa Shia wenzie huko Upanga. Uswahilini Shia wa kuhesabuAnaiga kila anachofanya Bakhresa kasoro kwenye kutoa Sadaka kwa wenye matatizo
Bakhresa ni Sunni ndiyo maana sadaka zake ndiyo mnaziona maana Sunni Waswahili ni wengi. Mo yeye Shia anatoa kwa Shia wenzie huko Upanga. Uswahilini Shia wa kuhesabu
Anaiga kila anachofanya Bakhresa kasoro kwenye kutoa Sadaka kwa wenye matatizo
Ndio biashara za kibongo zilivyo. Unafungua duka la mangi hapa, ukianza kupiga hela na majirani wanafungua mawili kukuzunguka.
Hana wabunifu kwenye management yake,nadhani bakharesa alimdharau tu maana kakopy vingi sana
Tatizo jamaa anachukua graduates na anawalipa kidogo sana sijui huo ubunifu watatolea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app