MO Dewji: Nimewekeza Simba zaidi ya 100bl.

Ameyasema wapi hayo? Mbona hakuna clip hapa?
 
Hivi huyu MO hana cha kujifunza kutoka kwa GSM! Mwenzake humsikii akijitapa au kulalamikia kitu chochote. Ila yeye sasa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…