Mtyela Kasanda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 554
- 819
Unaonekana una chuki binafsi ndugu, afu utakuwa ndio umeanza ushabiki, afu unaonekana sio shabiki wa simba!! Rudi nyumbani afu ujipange namna ya kutengeneza hoja bila kujulikana identity yakoTokea mwanzo mimi nilisema ' kina kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents".
Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina hans pope za usajili wa makelele mengi wakati hauna matunda.
Simba ni timu ya watanzania, hapa ndipo wachezaji wazuri wotewa tanzania walitakiwa wazaliwe na wachezee. Sasa Simba imekua sehemu ya kwenda kula hela. Wachezaji wangapi pale wanajitoa kwasababu ya jasho la wanasimba? Hakuna.
Na laana iwafikie wote wanaosema tunajenga Simba kwa matokeo ya baadae, mpira haupo hivo. Timu za mpira wa miguu zinajengwa na wachezaji wenye umri mdogo ili waje kutawala baadae. Usajili wetu wa kutulaghai kuona hatukamatiki umejaza wachezaji wenye miaka 25 na zaidi. Angalieni timu kama Madrid, Mazembe, Barcelona na timu nyingine zote kubwa. Mafanikio ya timu hizi yametokana na usajili wa vijana wadogo. Huwezi kufanya usajili wa wachezaji kutoka India utegemee utasaidia timu kukua.
Tena bora serikali imegundua na kusema kama ni mgeni aje akiwa ana nafasi timu yake ya taifa au anacheza ligi ya juu nchini kwao.
Ulaghai wa usajili wa fujo ili tumuonee huruma awe na masifa huko FORBES kwamba anamiliki timu yameanza kuthibitika, Mo Dewji ni tapeli na hajui anafanya nini na simba. Wazee walimpa nafasi aweke us 1 million kama alivoahidi wampe nyaraka akagoma kwasababu hana nia ya dhati ya kuipaisha Simba zaidi ya kutaka sifa tu.
Ubunge wa Singida ulimshinda kwasababu ya misifa, alijidai ataibadilisha Singida lakini wapii, Singida ina hali mbaya vile vile tangu na tangu.
Jamaa anapenda sifa tu, hawezi kufanya la maana lolote.
Mimi Simba siwezi kuacha kushabikia, ila mzuka wa kwenda uwanjani kuiangalia umepungua kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi nahisi kama Simba sio sehemu yangu tena, imekua kama ni mali ya mtu hivi.
Simba haijawahi kua mali ya mtu, ni timu ya wanaSimba.
NAPENDEKEZA TUWE NA MFUMO WA RAISI WA SIMBA NA SIO MMILIKI, KAMA AMBAVYO MADRID IPO.
Unasajili wachezaji kutoka India ambako hakuna mpira kabisa ili kutupumbaza watu ionekane umesajili vitu vya maana. Bahati nzuri njia ya muongo fupi, anataka sifa za kua anamiliki timu wakati sisi washabiki tunateseka. Mali za Simba hazitakiwi kuguswa na mikono ya nuksi ya Dewji.
Mlaghai mkubwa wewe.
Bila shaka nakazia arudi nyumbani akalale kabisaUnaonekana una chuki binafsi ndugu, afu utakuwa ndio umeanza ushabiki, afu unaonekana sio shabiki wa simba!! Rudi nyumbani afu ujipange namna ya kutengeneza hoja bila kujulikana identity yako
Mkuu, sijui unajua kuwa umeandika kinyesi tena kibichi cha mtu mzima? Kama hujui ndìo nakwambia.Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents".
Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina hans pope za usajili wa makelele mengi wakati hauna matunda.
Simba ni timu ya watanzania, hapa ndipo wachezaji wazuri wotewa tanzania walitakiwa wazaliwe na wachezee. Sasa Simba imekua sehemu ya kwenda kula hela. Wachezaji wangapi pale wanajitoa kwasababu ya jasho la wanasimba? Hakuna.
Na laana iwafikie wote wanaosema tunajenga Simba kwa matokeo ya baadae, mpira haupo hivo. Timu za mpira wa miguu zinajengwa na wachezaji wenye umri mdogo ili waje kutawala baadae. Usajili wetu wa kutulaghai kuona hatukamatiki umejaza wachezaji wenye miaka 25 na zaidi. Angalieni timu kama Madrid, Mazembe, Barcelona na timu nyingine zote kubwa. Mafanikio ya timu hizi yametokana na usajili wa vijana wadogo. Huwezi kufanya usajili wa wachezaji kutoka India utegemee utasaidia timu kukua.
Tena bora serikali imegundua na kusema kama ni mgeni aje akiwa ana nafasi timu yake ya taifa au anacheza ligi ya juu nchini kwao.
Ulaghai wa usajili wa fujo ili tumuonee huruma awe na masifa huko FORBES kwamba anamiliki timu yameanza kuthibitika, Mo Dewji ni tapeli na hajui anafanya nini na simba. Wazee walimpa nafasi aweke us 1 million kama alivoahidi wampe nyaraka akagoma kwasababu hana nia ya dhati ya kuipaisha Simba zaidi ya kutaka sifa tu.
Ubunge wa Singida ulimshinda kwasababu ya misifa, alijidai ataibadilisha Singida lakini wapii, Singida ina hali mbaya vile vile tangu na tangu.
Jamaa anapenda sifa tu, hawezi kufanya la maana lolote.
Mimi Simba siwezi kuacha kushabikia, ila mzuka wa kwenda uwanjani kuiangalia umepungua kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi nahisi kama Simba sio sehemu yangu tena, imekua kama ni mali ya mtu hivi.
Simba haijawahi kua mali ya mtu, ni timu ya wanaSimba.
NAPENDEKEZA TUWE NA MFUMO WA RAISI WA SIMBA NA SIO MMILIKI, KAMA AMBAVYO MADRID IPO.
Unasajili wachezaji kutoka India ambako hakuna mpira kabisa ili kutupumbaza watu ionekane umesajili vitu vya maana. Bahati nzuri njia ya muongo fupi, anataka sifa za kua anamiliki timu wakati sisi washabiki tunateseka. Mali za Simba hazitakiwi kuguswa na mikono ya nuksi ya Dewji.
Mlaghai mkubwa wewe.
Alipigwa chini METL na vyeti below standard anataka umeneja...Unaonekana una chuki binafsi ndugu, afu utakuwa ndio umeanza ushabiki, afu unaonekana sio shabiki wa simba!! Rudi nyumbani afu ujipange namna ya kutengeneza hoja bila kujulikana identity yako
Wakati Simba ipo dhohofu Lihali na Yanga anachukua ubingwa mfululizo huyo Kilomoni alikuwa wapi na genge lake?!Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents".
Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina hans pope za usajili wa makelele mengi wakati hauna matunda.
Simba ni timu ya watanzania, hapa ndipo wachezaji wazuri wotewa tanzania walitakiwa wazaliwe na wachezee. Sasa Simba imekua sehemu ya kwenda kula hela. Wachezaji wangapi pale wanajitoa kwasababu ya jasho la wanasimba? Hakuna.
Na laana iwafikie wote wanaosema tunajenga Simba kwa matokeo ya baadae, mpira haupo hivo. Timu za mpira wa miguu zinajengwa na wachezaji wenye umri mdogo ili waje kutawala baadae. Usajili wetu wa kutulaghai kuona hatukamatiki umejaza wachezaji wenye miaka 25 na zaidi. Angalieni timu kama Madrid, Mazembe, Barcelona na timu nyingine zote kubwa. Mafanikio ya timu hizi yametokana na usajili wa vijana wadogo. Huwezi kufanya usajili wa wachezaji kutoka India utegemee utasaidia timu kukua.
Tena bora serikali imegundua na kusema kama ni mgeni aje akiwa ana nafasi timu yake ya taifa au anacheza ligi ya juu nchini kwao.
Ulaghai wa usajili wa fujo ili tumuonee huruma awe na masifa huko FORBES kwamba anamiliki timu yameanza kuthibitika, Mo Dewji ni tapeli na hajui anafanya nini na simba. Wazee walimpa nafasi aweke us 1 million kama alivoahidi wampe nyaraka akagoma kwasababu hana nia ya dhati ya kuipaisha Simba zaidi ya kutaka sifa tu.
Ubunge wa Singida ulimshinda kwasababu ya misifa, alijidai ataibadilisha Singida lakini wapii, Singida ina hali mbaya vile vile tangu na tangu.
Jamaa anapenda sifa tu, hawezi kufanya la maana lolote.
Mimi Simba siwezi kuacha kushabikia, ila mzuka wa kwenda uwanjani kuiangalia umepungua kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi nahisi kama Simba sio sehemu yangu tena, imekua kama ni mali ya mtu hivi.
Simba haijawahi kua mali ya mtu, ni timu ya wanaSimba.
NAPENDEKEZA TUWE NA MFUMO WA RAISI WA SIMBA NA SIO MMILIKI, KAMA AMBAVYO MADRID IPO.
Unasajili wachezaji kutoka India ambako hakuna mpira kabisa ili kutupumbaza watu ionekane umesajili vitu vya maana. Bahati nzuri njia ya muongo fupi, anataka sifa za kua anamiliki timu wakati sisi washabiki tunateseka. Mali za Simba hazitakiwi kuguswa na mikono ya nuksi ya Dewji.
Mlaghai mkubwa wewe.
fifa ranking Tanzania 137 India 103 , Elo Ranking Tanzania 131 India 154. Hoja yako ni ipi hapa? India hakuna mpira, kuna vijana wazuri wapo hapo senegal na ghana, pia kuna vijana wapo hapa bongo tunatakiwa kua na academy ya maana tu. Kuna vijana wazuri wapo Uganda.Kaangalie Ranks za FIFaA upya halafu urudi utuambie kati ya India na Tanzania wapi hakuna mpira.
Mkuu kwa hiyo timu ikiwa na rais na huo mfumo unaotaka ndio hatutofungwa walakutolewa mapemafifa ranking Tanzania 137 India 103 , Elo Ranking Tanzania 131 India 154. Hoja yako ni ipi hapa? India hakuna mpira, kuna vijana wazuri wapo hapo senegal na ghana, pia kuna vijana wapo hapa bongo tunatakiwa kua na academy ya maana tu. Kuna vijana wazuri wapo Uganda.