Mo Dewji ni tapeli na bora imeonekana mapema

Mtyela Kasanda

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
554
818
Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina Kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents".

Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina Hans Pope za usajili wa makelele mengi wakati hauna matunda.

Simba ni timu ya watanzania, hapa ndipo wachezaji wazuri wote wa Tanzania walitakiwa wazaliwe na wachezee. Sasa Simba imekuwa sehemu ya kwenda kula hela. Wachezaji wangapi pale wanajitoa kwasababu ya jasho la wanasimba? Hakuna.

Na laana iwafikie wote wanaosema tunajenga Simba kwa matokeo ya baadae, mpira haupo hivo. Timu za mpira wa miguu zinajengwa na wachezaji wenye umri mdogo ili waje kutawala baadae. Usajili wetu wa kutulaghai kuona hatukamatiki umejaza wachezaji wenye miaka 25 na zaidi. Angalieni timu kama Madrid, Mazembe, Barcelona na timu nyingine zote kubwa. Mafanikio ya timu hizi yametokana na usajili wa vijana wadogo. Huwezi kufanya usajili wa wachezaji kutoka India utegemee utasaidia timu kukua.

Tena bora Serikali imegundua na kusema kama ni mgeni aje akiwa ana nafasi timu yake ya taifa au anacheza ligi ya juu nchini kwao.

Ulaghai wa usajili wa fujo ili tumuonee huruma awe na masifa huko FORBES kwamba anamiliki timu yameanza kuthibitika, Mo Dewji ni tapeli na hajui anafanya nini na simba. Wazee walimpa nafasi aweke US 1 million kama alivoahidi wampe nyaraka akagoma kwasababu hana nia ya dhati ya kuipaisha Simba zaidi ya kutaka sifa tu.

Ubunge wa Singida ulimshinda kwasababu ya misifa, alijidai ataibadilisha Singida lakini wapii, Singida ina hali mbaya vile vile tangu na tangu.
Jamaa anapenda sifa tu, hawezi kufanya la maana lolote.

Mimi Simba siwezi kuacha kushabikia, ila mzuka wa kwenda uwanjani kuiangalia umepungua kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi nahisi kama Simba sio sehemu yangu tena, imekua kama ni mali ya mtu hivi.

Simba haijawahi kuwa mali ya mtu, ni timu ya wanaSimba.

NAPENDEKEZA TUWE NA MFUMO WA RAISI WA SIMBA NA SIO MMILIKI, KAMA AMBAVYO MADRID IPO.

Unasajili wachezaji kutoka India ambako hakuna mpira kabisa ili kutupumbaza watu ionekane umesajili vitu vya maana. Bahati nzuri njia ya muongo fupi, anataka sifa za kua anamiliki timu wakati sisi washabiki tunateseka. Mali za Simba hazitakiwi kuguswa na mikono ya nuksi ya Dewji.
Mlaghai mkubwa wewe.
 
Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents".
Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina hans pope za usajili wa makelele mengi wakati hauna matunda.
Simba ni timu ya watanzania, hapa ndipo wachezaji wazuri wotewa tanzania walitakiwa wazaliwe na wachezee. Sasa Simba imekua sehemu ya kwenda kula hela. Wachezaji wangapi pale wanajitoa kwasababu ya jasho la wanasimba? Hakuna.
Na laana iwafikie wote wanaosema tunajenga Simba kwa matokeo ya baadae, mpira haupo hivo. Timu za mpira wa miguu zinajengwa na wachezaji wenye umri mdogo ili waje kutawala baadae. Usajili wetu wa kutulaghai kuona hatukamatiki umejaza wachezaji wenye miaka 25 na zaidi. Angalieni timu kama Madrid, Mazembe, Barcelona na timu nyingine zote kubwa. Mafanikio ya timu hizi yametokana na usajili wa vijana wadogo. Huwezi kufanya usajili wa wachezaji kutoka India utegemee utasaidia timu kukua.
Tena bora serikali imegundua na kusema kama ni mgeni aje akiwa ana nafasi timu yake ya taifa au anacheza ligi ya juu nchini kwao.
Ulaghai wa usajili wa fujo ili tumuonee huruma awe na masifa huko FORBES kwamba anamiliki timu yameanza kuthibitika, Mo Dewji ni tapeli na hajui anafanya nini na simba. Wazee walimpa nafasi aweke us 1 million kama alivoahidi wampe nyaraka akagoma kwasababu hana nia ya dhati ya kuipaisha Simba zaidi ya kutaka sifa tu.
Ubunge wa Singida ulimshinda kwasababu ya misifa, alijidai ataibadilisha Singida lakini wapii, Singida ina hali mbaya vile vile tangu na tangu.
Jamaa anapenda sifa tu, hawezi kufanya la maana lolote.
Mimi Simba siwezi kuacha kushabikia, ila mzuka wa kwenda uwanjani kuiangalia umepungua kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi nahisi kama Simba sio sehemu yangu tena, imekua kama ni mali ya mtu hivi.
Simba haijawahi kua mali ya mtu, ni timu ya wanaSimba.

Unaonekana una chuki binafsi ndugu, afu utakuwa ndio umeanza ushabiki, afu unaonekana sio shabiki wa simba!! Rudi nyumbani afu ujipange namna ya kutengeneza hoja bila kujulikana identity yako
 
Pumba za mchele kabisa,mwaka 2003 Simba wakati ikitinga robo fainali unajua ilikuwa kwa mkono wa nani?
.
Mwaka 2019 wakati Simba ikitinga robo fainali unajua ni kwa mkono wa nani?
.
Kiwango cha Vieira ulikiona wewe dhidi ya JKT TZ? vipi kuhusu Tyroon?
Unaijua mifumo ya uongozi wa R.madrid wewe? Unaijua ni timu ya daraja la ngapi ile kidunia?
Hell!
 
Mimi ni mwanasimba na kadi ya chama ninayo
Ninachokushangaa ndugu yangu na wengine wengi ninyi ni mashabiki matokeo
Tegemeo lenu ni kuona simba anashinda kila siku,mnashindwa kutambua kuwa mpira unamatokeo matatu,kufungwa,kufunga na droo

Kutocheza ligi za kimataifa zisiwafanye muione timu haifai,tuipe nafasi,ligi kuu ndo kwanza inaanza

Unalalamikia usajili leo hii,mbona hukusemea wakat usajil unafanyika?

Umechangia shilingi ngapi au mawazo gani umetoa kwenye kuwaleta hao wahindi????

WATANZANIA TUJIFUNZE KUWA NA ZIADA
 
Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents".
Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina hans pope za usajili wa makelele mengi wakati hauna matunda.
Simba ni timu ya watanzania, hapa ndipo wachezaji wazuri wotewa tanzania walitakiwa wazaliwe na wachezee. Sasa Simba imekua sehemu ya kwenda kula hela. Wachezaji wangapi pale wanajitoa kwasababu ya jasho la wanasimba? Hakuna.
Na laana iwafikie wote wanaosema tunajenga Simba kwa matokeo ya baadae, mpira haupo hivo. Timu za mpira wa miguu zinajengwa na wachezaji wenye umri mdogo ili waje kutawala baadae. Usajili wetu wa kutulaghai kuona hatukamatiki umejaza wachezaji wenye miaka 25 na zaidi. Angalieni timu kama Madrid, Mazembe, Barcelona na timu nyingine zote kubwa. Mafanikio ya timu hizi yametokana na usajili wa vijana wadogo. Huwezi kufanya usajili wa wachezaji kutoka India utegemee utasaidia timu kukua.
Tena bora serikali imegundua na kusema kama ni mgeni aje akiwa ana nafasi timu yake ya taifa au anacheza ligi ya juu nchini kwao.
Ulaghai wa usajili wa fujo ili tumuonee huruma awe na masifa huko FORBES kwamba anamiliki timu yameanza kuthibitika, Mo Dewji ni tapeli na hajui anafanya nini na simba. Wazee walimpa nafasi aweke us 1 million kama alivoahidi wampe nyaraka akagoma kwasababu hana nia ya dhati ya kuipaisha Simba zaidi ya kutaka sifa tu.
Ubunge wa Singida ulimshinda kwasababu ya misifa, alijidai ataibadilisha Singida lakini wapii, Singida ina hali mbaya vile vile tangu na tangu.
Jamaa anapenda sifa tu, hawezi kufanya la maana lolote.
Mimi Simba siwezi kuacha kushabikia, ila mzuka wa kwenda uwanjani kuiangalia umepungua kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi nahisi kama Simba sio sehemu yangu tena, imekua kama ni mali ya mtu hivi.
Simba haijawahi kua mali ya mtu, ni timu ya wanaSimba.

NAPENDEKEZA TUWE NA MFUMO WA RAISI WA SIMBA NA SIO MMILIKI, KAMA AMBAVYO MADRID IPO.
Unasajili wachezaji kutoka India ambako hakuna mpira kabisa ili kutupumbaza watu ionekane umesajili vitu vya maana. Bahati nzuri njia ya muongo fupi, anataka sifa za kua anamiliki timu wakati sisi washabiki tunateseka. Mali za Simba hazitakiwi kuguswa na mikono ya nuksi ya Dewji.
Mlaghai mkubwa wewe.
Mkuu, sijui unajua kuwa umeandika kinyesi tena kibichi cha mtu mzima? Kama hujui ndìo nakwambia.
 
Unaonekana una chuki binafsi ndugu, afu utakuwa ndio umeanza ushabiki, afu unaonekana sio shabiki wa simba!! Rudi nyumbani afu ujipange namna ya kutengeneza hoja bila kujulikana identity yako
Alipigwa chini METL na vyeti below standard anataka umeneja...
 
Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents".
Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina hans pope za usajili wa makelele mengi wakati hauna matunda.
Simba ni timu ya watanzania, hapa ndipo wachezaji wazuri wotewa tanzania walitakiwa wazaliwe na wachezee. Sasa Simba imekua sehemu ya kwenda kula hela. Wachezaji wangapi pale wanajitoa kwasababu ya jasho la wanasimba? Hakuna.
Na laana iwafikie wote wanaosema tunajenga Simba kwa matokeo ya baadae, mpira haupo hivo. Timu za mpira wa miguu zinajengwa na wachezaji wenye umri mdogo ili waje kutawala baadae. Usajili wetu wa kutulaghai kuona hatukamatiki umejaza wachezaji wenye miaka 25 na zaidi. Angalieni timu kama Madrid, Mazembe, Barcelona na timu nyingine zote kubwa. Mafanikio ya timu hizi yametokana na usajili wa vijana wadogo. Huwezi kufanya usajili wa wachezaji kutoka India utegemee utasaidia timu kukua.
Tena bora serikali imegundua na kusema kama ni mgeni aje akiwa ana nafasi timu yake ya taifa au anacheza ligi ya juu nchini kwao.
Ulaghai wa usajili wa fujo ili tumuonee huruma awe na masifa huko FORBES kwamba anamiliki timu yameanza kuthibitika, Mo Dewji ni tapeli na hajui anafanya nini na simba. Wazee walimpa nafasi aweke us 1 million kama alivoahidi wampe nyaraka akagoma kwasababu hana nia ya dhati ya kuipaisha Simba zaidi ya kutaka sifa tu.
Ubunge wa Singida ulimshinda kwasababu ya misifa, alijidai ataibadilisha Singida lakini wapii, Singida ina hali mbaya vile vile tangu na tangu.
Jamaa anapenda sifa tu, hawezi kufanya la maana lolote.
Mimi Simba siwezi kuacha kushabikia, ila mzuka wa kwenda uwanjani kuiangalia umepungua kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi nahisi kama Simba sio sehemu yangu tena, imekua kama ni mali ya mtu hivi.
Simba haijawahi kua mali ya mtu, ni timu ya wanaSimba.

NAPENDEKEZA TUWE NA MFUMO WA RAISI WA SIMBA NA SIO MMILIKI, KAMA AMBAVYO MADRID IPO.
Unasajili wachezaji kutoka India ambako hakuna mpira kabisa ili kutupumbaza watu ionekane umesajili vitu vya maana. Bahati nzuri njia ya muongo fupi, anataka sifa za kua anamiliki timu wakati sisi washabiki tunateseka. Mali za Simba hazitakiwi kuguswa na mikono ya nuksi ya Dewji.
Mlaghai mkubwa wewe.
Wakati Simba ipo dhohofu Lihali na Yanga anachukua ubingwa mfululizo huyo Kilomoni alikuwa wapi na genge lake?!

Kinachosikitisha zaidi na wewe eti utakuwa ni ‘Mwanaume’ wakati unaonyesha dalili kabisa ya kuwa na wivu wa ‘Kike’..!

Inawezekana Mo ana mapungufu lakini sio kama unavyotaka kutuaminisha hapa.
 
Haya matusi yote niliyategemea. Na hakuna mwanaSimba anaeipenda timu yake akasema kua tunaelekea mahali sahihi.
Kuhusu mishahara ya wachezaji, haya ndo matokeo ya kujaza wachezaji wazee. Ukiwa na vijana wadogo unaweza tumia hela ya mchezaji mmoja kulipa watatu. Wachezaji wakubwa wanataka hela nyingi na hela ndio inayowafanya wacheze ila vijana wadogo wanatafuta jina.
Tunatakiwa na mfumo wa Raisi ambae atakua mwajiriwa wa Simba, ambae atakua na sauti ya mwisho katika maamuzi muhimu ya Simba , na atakae tafuta wawekezaji kama Florentino Perez wa Madrid.
Huwezi kununua mafanikio kwenye mpira, mpira unahitaji nidhamu na mipango kufanikiwa.
Wachezaji wanatakiwa kuvuja jasho kwa heshima ya kilabu sio sababu ya hela. Time and again tumeona mifano ya wazi huko ulaya watu waliotaka kununua mafanikio imekuaje.
Kama una akili ndogo na unaona huyo mlaghai anachofanya ni sawa, endelea na upumbavu wako, niache mimi mwenye akili nione tofauti.
 
Mpumbavu kweli wewe. Nakuita mpumbavu kwasababu umemuita Mo kuwa Tapeli.

Kiufupi ni kwamba huna akili au unazo chache sana kwahiyo siwezi kukukosoa kwa lolote hapa! Kiufupi jua tu kwamba wewe ni mpumbavu, mjinga, na huna akili!
 
Kaangalie Ranks za FIFaA upya halafu urudi utuambie kati ya India na Tanzania wapi hakuna mpira.
 
fifa ranking Tanzania 137 India 103 , Elo Ranking Tanzania 131 India 154. Hoja yako ni ipi hapa? India hakuna mpira, kuna vijana wazuri wapo hapo senegal na ghana, pia kuna vijana wapo hapa bongo tunatakiwa kua na academy ya maana tu. Kuna vijana wazuri wapo Uganda.
 
Mkuu kwa hiyo timu ikiwa na rais na huo mfumo unaotaka ndio hatutofungwa walakutolewa mapema
 
Back
Top Bottom