Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,212
- 138,615
NaonaView attachment 2532894
Taarifa ya Rais wa Heshima wa Simba Mwekezaji Mo Dewji
Nimeteua wajumbe wanne wapya kwenye Bodi ya Simba Sports Club. Karibu Dk. Raphael Chegeni, Mhe Rashid Shangazi, Bwana Hamza Johari na Bwana Zulfikar Chandoo. Wanachama hawa wataleta uzoefu mkubwa ambao utasaidia katika kutimiza lengo la klabu, na kuwa klabu ya soka inayoongoza barani Afrika!
In English
I have appointed four New Board members to Simba Sports Club. Welcome to Dr. Raphael Chegeni, Hon Rashid Shangazi, Mr Hamza Johari and Mr Zulfikar Chandoo. These Members will bring great experience that will assist in realizing the Clubs' goal to become the leading football club in Africa
My Take
Tunategemea mje na mikakati yenye uhalisia wa kuifanya Simba Sc kuwa club kubwa barani Africa.
Hapo kwenye hivyo vitu vitatu mbona sioni hata kimoja kwa Simba? Au ulikua unazungumzia timu nyingine mkuu1. Uongozi bora
2. Benchi la ufundi imara
3. Wachezaji wa viwango vya CAF
Haya mambo hayaachani kwenye mafanikio ya mpira wa miguu. Simba SC Nguvu Moja [emoji881]
Hao ni mbumbumbu mkuu kwaio Mo anawafanya atakavyo[emoji23][emoji23]samahan kwa wanaojua mtusaidie, kateua kwa mamlaka yapi aliyonayo?
wale wenye 51% wanawakilishwa na akina nani kwenye hio bodi?
maana nimeona pia kamteua mwenyekiti wa bodi, sijui nafasi ya wale wenye 51% ni ipi so far
Ninavyojua, Simba inakuwa na wakurugenzi wa bodi 10, 5 kutoka kwa upande wa wanachama na 5 kutoka kwa upande wa mwekezaji.samahan kwa wanaojua mtusaidie, kateua kwa mamlaka yapi aliyonayo?
wale wenye 51% wanawakilishwa na akina nani kwenye hio bodi?
maana nimeona pia kamteua mwenyekiti wa bodi, sijui nafasi ya wale wenye 51% ni ipi so far
"Na kuwa klabu ya soka inayoongoza barani Afrika!'View attachment 2532894
Taarifa ya Rais wa Heshima wa Simba Mwekezaji Mo Dewji
Nimeteua wajumbe wanne wapya kwenye Bodi ya Simba Sports Club. Karibu Dk. Raphael Chegeni, Mhe Rashid Shangazi, Bwana Hamza Johari na Bwana Zulfikar Chandoo. Wanachama hawa wataleta uzoefu mkubwa ambao utasaidia katika kutimiza lengo la klabu, na kuwa klabu ya soka inayoongoza barani Afrika!
In English
I have appointed four New Board members to Simba Sports Club. Welcome to Dr. Raphael Chegeni, Hon Rashid Shangazi, Mr Hamza Johari and Mr Zulfikar Chandoo. These Members will bring great experience that will assist in realizing the Clubs' goal to become the leading football club in Africa
My Take
Tunategemea mje na mikakati yenye uhalisia wa kuifanya Simba Sc kuwa club kubwa barani Africa.
Ko unataka waje huko magwepande wakuonyesha Bil 20 hizi hapa??"Na kuwa klabu ya soka inayoongoza barani Afrika!'
Bil 20 mpaka sasa hazionekani.
haaa,,,nilijua tu hii mada hapa lazima b 20 itashtuliwa."Na kuwa klabu ya soka inayoongoza barani Afrika!'
Bil 20 mpaka sasa hazionekani.
Heading ingesomeka ~Shangazi Kaja~ ingetoshaView attachment 2532894
Taarifa ya Rais wa Heshima wa Simba Mwekezaji Mo Dewji
Nimeteua wajumbe wanne wapya kwenye Bodi ya Simba Sports Club. Karibu Dk. Raphael Chegeni, Mhe Rashid Shangazi, Bwana Hamza Johari na Bwana Zulfikar Chandoo. Wanachama hawa wataleta uzoefu mkubwa ambao utasaidia katika kutimiza lengo la klabu, na kuwa klabu ya soka inayoongoza barani Afrika!
In English
I have appointed four New Board members to Simba Sports Club. Welcome to Dr. Raphael Chegeni, Hon Rashid Shangazi, Mr Hamza Johari and Mr Zulfikar Chandoo. These Members will bring great experience that will assist in realizing the Clubs' goal to become the leading football club in Africa
My Take
Tunategemea mje na mikakati yenye uhalisia wa kuifanya Simba Sc kuwa club kubwa barani Africa.
Ndio maana mimi sasa hivi nawapiga dislike tu. They are damaged beyong repairsKuanzia sasa sitajibishana na shabiki ambaye timu yake haishiriki Super League maana ni wadogo sana kwetu.Ni kupoteza nguvu bure hakuna wataloongea lenye maana..
Watateua wenyewe wajumbe waoWale wenye 51% wanawakilishwa na akina nani kwenye hiyo bodi?
Unatype huku roho inakuumaHao ni mbumbumbu mkuu kwaio Mo anawafanya atakavyo[emoji23][emoji23]
Hahaaaa!!hiyo 51% kwa sasa ni jina tu kwani hakuna pesa ambayo wameshaweka,tieni mpunga huo ndio muwe na maamuzi hayo ya kuteua hao watu!!!yeye lazima ateue kwani ana bilioni 20 zake humo!!na magoli ameshawaambia wanachama kabisa wajiandae ili kuwa mwanahisa pesa ni ndefu.Samahani kwa wanaojua mtusaidie, kateua kwa mamlaka yapi aliyonayo?
Wale wenye 51% wanawakilishwa na akina nani kwenye hiyo bodi?
Maana nimeona pia kamteua mwenyekiti wa bodi, sijui nafasi ya wale wenye 51% ni ipi so far
Hizo bil 20 kaweka benki ganiHahaaaa!!hiyo 51% kwa sasa ni jina tu kwani hakuna pesa ambayo wameshaweka,tieni mpunga huo ndio muwe na maamuzi hayo ya kuteua hao watu!!!yeye lazima ateue kwani ana bilioni 20 zake humo!!na magoli ameshawaambia wanachama kabisa wajiandae ili kuwa mwanahisa pesa ni ndefu.
Ili kujua ameweka bank gani!!ni hadi pale mtakapo kuwa mmekusanya hizo hisa 51%(pesa)ndio mmwambie awaonyeshe alipoweka zile ili mzichanganye!!!yaani mwaka mzima mapato ya wanachama ni milioni 17 tu!magoli ameshawaambia hisa moja si chini ya laki 3!!!hapo sasa,Sio unatoka kushiba mihogo huko unapiga kelele tuachie timu yetu!!!Hizo bil 20 kaweka benki gani
Kwani wakati wanaweka kwenye account hewa walikuja Magwepande?,si walikuwa huko huko na sisi habari tulizipata sasa kwa nini mpaka leo haijulikani ni Bank gani waliweka?Ko unataka waje huko magwepande wakuonyesha Bil 20 hizi hapa??