martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,464
Hapo kwenye "mwakilishi wa Wachagga" kuna kitu si sahihi.Ubaguzi huo.Habari wakuu,
Mohammed Ghulam Dewji, ameendelea kuwa top kwenye suala zima la utajiri nchini Tanzania. Licha ya bilionea huyo kuchukuliwa poa nchini ila ndio bilionea no.1 kijana barani Afrika na anashikilia no.15 kati ya mabilionea wote Afrika kutokana na taarifa za Forbes na Bloomberg.
Mo Dewji ni tajiri pekee Tanzania aliefikia utajiri wa thamani ya dollar bilioni 1.5 na hakuna Mtanzania yeyote aliewahi kufikia kiwango hicho. Pia ni bilionea pekee wa kitanzania mwenye biography kwenye jarida la Bloomberg, zaidi ya huyo hakuna bilionea mwingine alieongelewa au kutajwa na jarida hilo.
Kwa upande mwingine bilionea Rostam Aziz ameshikilia no.2 kwa mabilionea nchini kwa utajiri wa thamani ya $900M, huku mwakilishi wa wachaga Marehemu Mhe.Reginald Mengi akishika no.3 kwa utajiri wa $680M, Said Salim Bakhresa akifuata kwa kuwa na utajiri wa $600M.
Unafuatilia kweli data za matajiri!!!?? Mara ya mwisho forbes uliingia lini ukaona Mengi hayupo!!?? Kanywe chai urudi uje kuniambia nani amekwambia bilionea akifa anaondolewa kwenye orodha ya matajiri. Maana naona hujanywa chaiMarehemu nao ni matajiri kuliko walio hai?
Hiz data za lini...
Kwa hio mengi ni tajiri kuliko walio hai?
Kumkumbusha mtu kutafuta hela ni weakness fulani, jaribu kujichunguza kuna sehemu haupo sawa mkuuTafuta Hela jombaa. Hakuna tuzo ya kuhesabu matajiri tulio nao
Ndio maana nikakwambia nenda forbes utakuta habari zake, sio lazima kuniamini mimi mosejigrafiHapo kwenye "mwakimishi wa Wachagga" kuna kitu si sahihi.Ubaguzi huo.
Hivi kwa nini mafukara wengi ,hasa nchi ya Tanzania, wanapenda sana kujadili na kubishana kuhusu utajiri na matajiri?Unafuatilia kweli data za matajiri!!!?? Mara ya mwisho forbes uliingia lini ukaona Mengi hayupo!!?? Kanywe chai urudi uje kuniambia nani amekwambia bilionea akifa anaondolewa kwenye orodha ya matajiri. Maana naona hujanywa chai
Sasa michambo yote ya nini?Unafuatilia kweli data za matajiri!!!?? Mara ya mwisho forbes uliingia lini ukaona Mengi hayupo!!?? Kanywe chai urudi uje kuniambia nani amekwambia bilionea akifa anaondolewa kwenye orodha ya matajiri. Maana naona hujanywa chai
Haujaelewa hoja yangu.Umeandika "mwakilishi wa Wachaga" kwa Mengi.Kwa nini haukuandika "mwakilishi wa Wahindi/Wanyaturu/Wanyamwezi" kwa hao akina Dewji na Rostam?Ni vema tu ungeishia kuandika "Watanzania"!Ndio maana nikakwambia nenda forbes utakuta habari zake, sio lazima kuniamini mimi mosejigrafi
Kwa sababu wana "wamotiveiti" na "kuwainspaiya"!Hivi kwa nini mafukara wengi ,hasa nchi ya Tanzania, wanapenda sana kujadili na kubishana kuhusu utajiri na matajiri?
Tatizo letu watanzania, tuna laana moja hivi ambayo wengi inatutafuna;Habari za Tajiri mwachie Maskini.
Naona unataka tudiscuss habari za kukaa kwa shemeji yako, baada ya kuhama kwenuHivi kwa nini mafukara wengi ,hasa nchi ya Tanzania, wanapenda sana kujadili na kubishana kuhusu utajiri na matajiri?
Inajumuisha mzee, nani kakwambia mtu anazikwa na kampuni zakeSasa michambo yote ya nini?
Mimi nimeuliza tu...kwamba mengi yupo kwenye orodha na alishakufa?
Vip list ya matajiri ni ya wote waliokufa na hai?
Wachaga ni kabila pekee lilitoa bilionea na kuingia kwenye orodha za Forbes, hao wengine ni wahindi wabantuHaujaelewa hoja yangu.Umeandika "mwakilishi wa Wachaga" kwa Mengi.Kwa nini haukuandika "mwakilishi wa Wahindi/Wanyaturu/Wanyamwezi" kwa hao akina Dewji na Rostam?Ni vema tu ungeishia kuandika "Watanzania"!
Twende taratibu naomba nipe worth ya familia ya Mengi mpaka sasaOutdated maana Mengi hadi anakufa mali zake hazikuwa zinafikia hiyo pesa