MO awaumbua watekaji

MO awaumbua watekaji

Vyombo vyenyewe tena ya usalama vinadai hao watekaji ni watu wasiojulikana,
hata kama akiwataja watamwambia hao watu wasiojulikana we umewajuaje!!!!!! Habari kwisha.
 
Hakuna microchip ya hivyo acheni ufala
Hawa waandishi wa Gazeti la Jamhuri wanatuona watu wote wajinga.

Microchip iliyo kuwa implanted ndani ya ngozi inachukuaje picha?

Microchip ya ndani ya ngozi inarekodi vipi sauti kama imefunikwa na ngozi?

Hapo waseme wanaweza kurekodi path yote ya mtu aliepandikizwa hiyo kitu.

Hiyo microchip gani inayopima magonjwa yote pia?
Wangesama inapima sukari, joto na pressure ningekubali.
 
Inawezekan mkuu. Zipo hizo. Na sishangazwi kama Mo alikuwa nayo. Zina manufaa mengi kwa wenye uwezo.
Microchip zipo lakini hazifanyi kazi kama walivyo ongeza chumvi Jamhuri.
Hata ule mkwala wa kuongea na CIA ni fake news.

Jamhuri wanatumia fursa kuuza nakala nyingi za toleo husika la gazeti.
 
Back
Top Bottom