vitu vyengine ni useng tu ndo matatizo ya kuamua kwa emotion hata kama chanzo ni refa viti vinahusikaje..?
bora waekewe yale mangazi ya siment maana hapo itakuwa ni uharibifu tu kila siku
Tusijifariji kwa kuiga mambo ya kihuni kutoka nchi nyingine tukayaleta kwetu. Ubaya ni ubaya tu. Tuige mazuri kwa maendeleo ya nchi yetu. Kwa waungwana kitendo kile ni cha kulaaniwa kwa nguvu zote.