Mo asipopatikana Lugola aachie ngazi

Mo asipopatikana Lugola aachie ngazi

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,165
Reaction score
47,867
Nasema kwamba Mo asipopatikana haya fanyanyike
1.Lugola ujuengue katika uwaziri matamko ni mengi kuzidi vitendo,
Haiwezekani alipotekewa kuna makamera, kuna watu kuna kila kitu Alafu leo tunapewa story,

Wajibika mkuu

2. Rais Magufuli angalau uangalie upya nchi yako haiko salama,

3. Makonda naye aachie ngazi mara moja, mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa,

4. Mambosasa. Pamoja na kutoa kauli za mapema kwamba wazungu ndo wameteka lakin hawajaona gari plate number zake ,ila wameweza kuona kuwa ni wazungu
 
Mhh! Kwa nchi hii jinsi ilivyo, labda wataachia ngazi za kupandia ghorofani!
 
Wakitoka nyie mnafaidika nini? Kwani uwepo wao ndio sababu Mo hajapatikana?
 
pale ambapo Panya wakifanya kikao kujadiriana PAKA Wa mwenye nyumba afukuzwe nyunbani;

Sijui ushauri wao utasikilizwa! au maanake mi navyojua hao panya wenyewe mwenye nyumba ndo hawataki!
 
Nasema kwamba Mo asipopatikana haya fanyanyike
1.Lugola ujuengue katika uwaziri matamko ni mengi kuzidi vitendo,
Haiwezekani alipotekewa kuna makamera, kuna watu kuna kila kitu Alafu leo tunapewa story,

Wajibika mkuu

2. Rais Magufuli angalau uangalie upya nchi yako haiko salama,

3. Makonda naye aachie ngazi mara moja, mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa,

4. Mambosasa. Pamoja na kutoa kauli za mapema kwamba wazungu ndo wameteka lakin hawajaona gari plate number zake ,ila wameweza kuona kuwa ni wazungu
Hiyo number tatu ikifanikiwa taifa kitazizima kwa furaha!!
 
Lugola sio smart ktk Organize mambo yeye ni matamko na attention tu ndo anataka Kuna muda unashangaa inakuaje mtu huyu afike rank ya juu ivi, Sijui ndio ngekewa tu ana Pwaya sana
 
Back
Top Bottom