Korozoni
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 264
- 105
Habari wana jukwaa,
naomba kusaidiwa juu ya hili,kuna mtoto wa miaka miwili,muda mwingi alikuwa anakabiliwa na tatizo la tumbo la kuharisha na pia linakuwa kubwa sana.
Juzi akapelekwa Hospitali na akapewa dawa ya minyoo.
Sasa usiku huu kuna mnyoo wenye urefu kama wa sentimita kadhaa umejitokeza kwenye njia yake ya haja kubwa,ni round kwa umbo umetokea kama sentimita 9 hivi,sasa nahofia kuutoa kwa mkono nisije kumsababishia matatizo.Wataalamu wa afya naomba maelekezo juu ya nini kifanyike.
Asante