Designated JF-Expert Member Joined Jul 17, 2017 Posts 426 Reaction score 1,090 Sep 21, 2021 #1 Huu msemo unatumika sana, lakini binafsi huwa siuelewi yani unamnyonga mtu halafu unampaje haki yake. Naona kama msemo wa kinafiki. Wataalam hebu nisaidieni.
Huu msemo unatumika sana, lakini binafsi huwa siuelewi yani unamnyonga mtu halafu unampaje haki yake. Naona kama msemo wa kinafiki. Wataalam hebu nisaidieni.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,516 Reaction score 89,013 Sep 21, 2021 #2 Hakuna mtaalum mbele ya kunyongwa wewe
Designated JF-Expert Member Joined Jul 17, 2017 Posts 426 Reaction score 1,090 Sep 22, 2021 Thread starter #3 KENZY said: Hakuna mtaalum mbele ya kunyongwa wewe Click to expand... Mtaalam wa lugha ya kiswahili na misemo kama hiyo
KENZY said: Hakuna mtaalum mbele ya kunyongwa wewe Click to expand... Mtaalam wa lugha ya kiswahili na misemo kama hiyo
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,956 Sep 23, 2021 #4 Designated said: Huu msemo unatumika sana, lakini binafsi huwa siuelewi yani unamnyonga mtu halafu unampaje haki yake. Naona kama msemo wa kinafiki. Wataalam hebu nisaidieni. Click to expand... Wahenga waliotunga hiyo methali walikuwa wamekunywa pombe nyingi ndipo wakatunga, ni moja ya methali isiyoingia akilini. Ni sawa na methali inayosema; "Mpe mchawi alee mwanao", yaani mtu mbaya ndiye umkabidhi akutunzie hazina yako!!! 🤣
Designated said: Huu msemo unatumika sana, lakini binafsi huwa siuelewi yani unamnyonga mtu halafu unampaje haki yake. Naona kama msemo wa kinafiki. Wataalam hebu nisaidieni. Click to expand... Wahenga waliotunga hiyo methali walikuwa wamekunywa pombe nyingi ndipo wakatunga, ni moja ya methali isiyoingia akilini. Ni sawa na methali inayosema; "Mpe mchawi alee mwanao", yaani mtu mbaya ndiye umkabidhi akutunzie hazina yako!!! 🤣
Munambefu JF-Expert Member Joined Jun 24, 2012 Posts 2,916 Reaction score 7,441 Sep 23, 2021 #5 Misemo Haisomwi Kama gazeti Mnyonge mnyogeni haki yake mpeni maana yake kila mtu ana madhaifu na uimara wake, au mabaya na mazuri yake Hivyo usiseme mabaya tupu sema na uzuri wake
Misemo Haisomwi Kama gazeti Mnyonge mnyogeni haki yake mpeni maana yake kila mtu ana madhaifu na uimara wake, au mabaya na mazuri yake Hivyo usiseme mabaya tupu sema na uzuri wake
Reginald L. Ishala JF-Expert Member Joined Jun 18, 2011 Posts 3,810 Reaction score 6,801 Sep 24, 2021 #6 Kila mtu atendewe haki kwa kadri istahilivyo pasina kujali hadhi yake.