T. 2015 CCM
Member
- Feb 13, 2012
- 26
- 5
Wadau nimeinasa mahali kuwa kuna mazungumzo yanaendelea baina ya baadhi ya Viongozi vijana kuacha tofauti zao za kiitikadi (Kivyama) na kuanzisha jukwaa la Viongozi vijana kwa lengo la kujadili mstakabari wa Tanzania sasa na baadae kiuchumi, kisiasa, kimichezo na kiutamaduni.
Kama mjadala na mazungumzo haya yapo, naomba kuyaunga mkono, kwani ndiyo yatakayofanikisha kuleta tija kwa mstakabari wa taifa hili. Sasa hivi kinacholitesa taifa hili ni tatizo la mvutano wa kiitikadi na kivyama badala ya mvutano wa kimtazamo wenye lengo la kusukuma maendeleo ya taifa hili mbele kwa haraka.
Nafikiri hii ni kitu nzuri kwa mustakali wa taifa letuWadau nimeinasa mahali kuwa kuna mazungumzo yanaendelea baina ya baadhi ya Viongozi vijana kuacha tofauti zao za kiitikadi (Kivyama) na kuanzisha jukwaa la Viongozi vijana kwa lengo la kujadili mstakabari wa Tanzania sasa na baadae kiuchumi, kisiasa, kimichezo na kiutamaduni.
Kama mjadala na mazungumzo haya yapo, naomba kuyaunga mkono, kwani ndiyo yatakayofanikisha kuleta tija kwa mstakabari wa taifa hili. Sasa hivi kinacholitesa taifa hili ni tatizo la mvutano wa kiitikadi na kivyama badala ya mvutano wa kimtazamo wenye lengo la kusukuma maendeleo ya taifa hili mbele kwa haraka.
unaitaji ukombozi wa fikra mkuu.bado tu,umegandana na ushabiki wa vyama?,kwa mawazo haya nchi haitasonga kamwe.cdm si chama cha malaika siku wakipewe nchi,utashabikia wp? Maana hawawezi kutimiza haja zako kwa njia za kidemokrasia.turuhusu akili zetu kufikiri sahihi na kuweka ushabiki chini,kama kuna jema ktk muungano huu ni vema.ifike mahali tujue chanzo cha umasikini wetu kimejificha kwenye vyama vya kisiasa,si rahisi kukubali ukweli huu hasa mashabiki wa vyama mtapinga sana,wanasiasa wengi ni matapeli mnavyowasoma kwenye magati sivyo walivo ndg zangu ni wanafiki wapenda umaarufu,pesa na madaraka.TUWE MAKINI NAOUchafu tu wanatuletea, ccm washashindwa unavyojidanganya kuungana nao kwa kisingizio cha maslahi kwa taifa ni kifo cha cdm km ilivyokuwa cuf, zitto na kafulila ningewasifu na kuwaunga mkono km wangeunda jukwaa la vijana kwa ajili ya kuing`oa ccm ili kije chama kipya na mifumo mipya na sio ujinga na ****** huu.
Kadri vijana wa chadema wakiongozwa na zitto wanavyodhani january na bashe ni wenzao wajue wale wanawamaliza nguvu kiana tu, km kweli bashe, nape na january wanalitakia mema taifa hili kamwe wasingekaa ccm.