nampa pongezi baba wa mtoto huyu....mie nilishashona kombati na mama watoto....nilipoenda kushona za makinda yangu nikashauriwa niache wakue kidogooooo walau wamfikie huyu dogo....
I WOULD LOVE TO SEE THIS YOUNG FELLOW IN THE PARLIAMENT WHEN I AM ABOUT TO RETIRE!!
Fundi anayeshona haya magwanda yuko TUNDUMA.nitawasiliana naye niwapatie contacts zake ndiye anayeshona ya viongozi na wana-CDM wengine wanaohitaji VAZI HILI LENYE KUSISIMUA
Cmu yake haipatikani lakini usiku nitampata leo uck au kesho asubuhi nitaiweka ufanye mawasiliano naye.Nakuhakikishia jamaa mkali kwa ku-design magwanda, wana-Tunduma wanatoka kwa design za CDM kama kawa.Kesho chaliii