Mnyika - tatizo la maji sasa lipo shingoni.

Mnyika - tatizo la maji sasa lipo shingoni.

Dawa ni kuhakikisha mnyika hapati tena ubunge 2015 sababu toka aingie hamna alichokifanya zaidi ya kupiga blah blah

Mnyika angekuwa anapiga kelele za tatizo la maji kama afanyavyo kwenye shughuli za chama, wakazi wa jimbo lake wasingelalamika hivi, na mnyika akicheza tu 2015 watamuondoa kutokana na tatizo la maji.
Wapiga kura wa Mnyika hawako ubungo pekee, wengine wako maeneo mengine huko dar na wengine wako mikoani. Ilivyoajabu hata wa mikoani hupanda basi kwenda ubungo kupiga kura.
 
Hao wa mtwara walipata walichotaka?
Walitaka gesi iwanufaishe pia, kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa. Mfano, walitaka ajira, kuna viwanda vinajengwa.. wazee mashuhuri wamepelekwa nje ya nchi, kuna vijana wa mikoa hiyo wamepewa scholarship nje ya nchi, vyuo vya veta vinavyofundisha stadi za mafuta na gesi vimeanzishwa huko, n.k.. Hii ni tofauti na geita, kahama, mara na hata mererani kunakochimbwa dhahabu na tanzanite.
 
Chadema haifai tuitoe tu, mbona tunajuta.
Chadema ndio dawasco?? Vijana wa ccm jifunzeni kujibu hoja kama wasomi basi sio kila mara mnakuwa nervous. Mnajidharirisha kwa kutoa majibu mepesi kwenye maswali magumu, kweli ili kuwa mwana ccm hasa uvccm lazima uwe mjinga mjinga na hili linajidhihirisha jf.
 
Back
Top Bottom