Kwani hujui kuwa hiko chama kinasomeka kwa aka Chama cha Mauaji?Kwa kashifa nziito aliyokuwa nayo Madabida ya ARV feki,watu wamekufa kwa kupewa dawa feki,sikutegemea kama angekuwa na madaraka yoyote ndani ya Chama,lakini hiyo ndiyo CCM......hiyo ndiyo Tanzania.
Mnyika usisahau tuna kudai maji
katika wapumbavu na wewe umo? hv mnyika na mdee wanafaida gani katika haya majimbo zaidi kuchochea vurugu?? subiri october......
Chadema nimpango wa Mungu ndio ameleta Tanzania
Sasa kama ni serikali ndiyo inayopaswa kusifiwa kwakuwa inatekeleza ilani yake iweje tena mnaumlaumu Mnyika kwasababu ya kero ya maji ya Ubungo badala ya kuilaumu serikali?KILA SIKU NASEMA BAVICHA MNAONGOZWA NA BANGI+GONGO..
huu ujenzi wa barabara ni UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM na ahadi za raisi alizozitoa kipindi cha kampeni.
sasa kwa akili yenu ya bangi na mnavyopenda kijitekenya na kujicheka wenywewe, mnajidanganya ''ETI NI JUHUDI ZA MNYIKA NA MDEE''
Hahahahahaaaaa mimi ndio maana nawadharaaaaaaauuuuuuuuuu.
hivi huyu mnyika ana kipi kitakachosikilizwa na serikali mpaka kitekelezwe??? au msagaji wenu wa kawe anaweza kuishawishi nini serikali ikatekeleza matakwa yake???
acheni upumbavu
Swali zuri zuri wote Magufuli John Mnyika Halima Mdee wanastahili sifa,Tumpongeze mnyika ua Dr Pombe Magufuri mbunge wangu
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAA. Serikali imeamua kwa makusudi ispeleke maji ubungo ili 2015 mnyika ang'oke na NAKUHAKIKISHIA huyu dogo anang'oka tena kirahisiiiiiiiSasa kama ni serikali ndiyo inayopaswa kusifiwa kwakuwa inatekeleza ilani yake iweje tena mnaumlaumu Mnyika kwasababu ya kero ya maji ya Ubungo badala ya kuilaumu serikali?
Chadema nimpango wa Mungu ndio ameleta Tanzania
Unandai maji kwani yeye ndie Waziri wa maji???
Wewe ni msomi kama profesa Maghembe au profesa maji marefu?Prof. Magembe kamshikisha adabu mnyika, kuropoka kwake ndo kulimponza naona sasa kajirudi kaanza kupata misaada ila kawa uchochoro wa kupigia hela, chezea wasomi wewe?