Mnyika na Mdee wafanya Makubwa

Mdee toka awe mbunge jana ndio nimemuona Kawe
 
Mnyika usisahau tuna kudai maji
 
Trilioni moja kujenga km55 kweli? sawa na bil 18/km, hakiyanani hili tabasamu sio la bure! yaani madabida na mnyika wanakuwa marafiki?
 
Serikali yenu inawahujumu Mnyika anaitisha maandamano ninyi kimya,who ll rescue u in ths failled administration
 
Kumbe Mnyika ni waziri wa Maji?

Prof. Magembe kamshikisha adabu mnyika, kuropoka kwake ndo kulimponza naona sasa kajirudi kaanza kupata misaada ila kawa uchochoro wa kupigia hela, chezea wasomi wewe?
 
thread kam hizi huwa zinanishangaza sana. kwanini watu wasiseme ukweli tu?
ubungo mpaka leo ni kizungumkuti kuhusu maji. najua kama ingekuwa ni wishes ya mnyika basi angeanza na maji. lakini kwa sababu sio uamzi wake bali mapenzi ya serikali ya ccm.
 
katika wapumbavu na wewe umo? hv mnyika na mdee wanafaida gani katika haya majimbo zaidi kuchochea vurugu?? subiri october......
Tunawashukuru sana hawa watu wa chadema , kule kwetu KYELA wamechukua madaraka na baada ya siku 7 wakatupatia VISIMA 6 VYA MAJI , VILE AMBAVYO CCM WAMESHINDWA KWA MIAKA KARIBU 60 !
 
Asante mkuu , lakini Topic yetu ya leo inahusu barabara .
 
Ukweri upinzani huchochea maendeleo tatizo serikali haitekelezi kwa wakati maeneo ya upinzani
 
Shida ya maji siyo Ubungo tu.Ni karibu nchi nzima kutokana na sera mbovu za CCM.

Ni janga la Taifa
 
Tunawashukuru sana hawa watu wa chadema , kule kwetu KYELA wamechukua madaraka na baada ya siku 7 wakatupatia VISIMA 6 VYA MAJI , VILE AMBAVYO CCM WAMESHINDWA KWA MIAKA KARIBU 60 !

Popote inapotawala Chadema ni Neema kubwa.
 
Asante mkuu , lakini Topic yetu ya leo inahusu barabara .
hata hivyo usijali. upinzani mwaka huu utaongeza mengi ya kutosha tu. hata wewe kama sio mbunge changamkia fursa hii. ccm watapoteza majimbo mengi tu na hatutarajii yalioko upinzani kurudi ccm. hata hao akina mnyika, mdee wala wasijali, bado tutawachagua tu. na sioni umuhimu sana wakuja kuongopea watu kama hii thread inavyofanya. demokrasia ya kweli tutaifikia pale tu tutakapogawanyika pale bungeni kwa maana ya wanaoongoza serikali na wanaowasimamia kuwa nusu kwa nusu. ndo dunia inavyoenda kama kule kwa obama, mikel, cameroon hollande etc.
 
Tunawashukuru sana hawa watu wa chadema , kule kwetu KYELA wamechukua madaraka na baada ya siku 7 wakatupatia VISIMA 6 VYA MAJI , VILE AMBAVYO CCM WAMESHINDWA KWA MIAKA KARIBU 60 !

sidhani kama ni visima labda visimi.
 
katika wapumbavu na wewe umo? hv mnyika na mdee wanafaida gani katika haya majimbo zaidi kuchochea vurugu?? subiri october......

We we wabunge wa cdm wote hakuna wa kutochaguliwa,wacha ukichaa wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…