Standalone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 676
- 576
Huyu Madabida anafuata nini sasa kwenye sherehe hizi? haya mambo sio ya chama jamani ya ya serikali? kwanza we Madabida ile kesi yako ya ARV feki umesha sort out ? au unajikalisha tu karibu na magreda hapo
Jana ilikuwa uzinduzi wa ujenzi wa Barabara jimboni UBUNGO na KAWE uliotawaliwa na shangwe na nderemo kwa wakazi waliopakana na barabaza za Mbezi Mwisho-Goba-Tangi Bovu, Barabara ya External Kilungule, Barabara ya Msewe-Baruti! Ambapo ni barabara zilizopo kwenye majimbo wa Kawe na Ubungo yaliyo chini ya CHADEMA (Ubungo- Mnyika na Kawe- Halima Mdee)
Hii ni moja ya hatua kubwa sana na muhimu katika utatuzi wa foleni ndani ya Jiji la Dar es Salaam na kuendeleza kwa kiasi kikubwa maeneo ambayo barabara hizo zinapita (ndani ya Jimbo la Ubungo).
Kutekelezwa kwa ujenzi ba barabara huyo ni kufuatia hoja na kelele wanazopiga wabunge wa upinzania bungeni(CHADEMA)na hatimaye serikali kuona haina jinsi Zaidi ya kutekeleza kilio hiki cha wananchi wa maeneo hayo.
Kwa wakati huo huo Makazi mmmoja wa jimbo la ukonga amemtaka mbunge wao Eugine Mwaiposa aache kulala bungeni na kumtaka awasemee ubovu wa barabara za jimbo lake ambapo hazifananii kuwa ndani ya jiji kubwa kama Dar es salaam.
Hongera kwa John Mnyika.
Hongera kwa Halima Mdee.
Wewe ni Mpumbavu Mkuu, hapo waliko sasa wanachoche vurugu au wanazindua jambo la maendeleo??katika wapumbavu na wewe umo? hv mnyika na mdee wanafaida gani katika haya majimbo zaidi kuchochea vurugu?? subiri october......
katika wapumbavu na wewe umo? hv mnyika na mdee wanafaida gani katika haya majimbo zaidi kuchochea vurugu?? subiri october......
Hawa mabachela hawana jipya
Mkuu wewe hujaona jambo la kuchangia mpaka utukane?!! hata hivyo kiburi chenu mwisho novemba.katika wapumbavu na wewe umo? hv mnyika na mdee wanafaida gani katika haya majimbo zaidi kuchochea vurugu?? subiri october......
katika wapumbavu na wewe umo? hv mnyika na mdee wanafaida gani katika haya majimbo zaidi kuchochea vurugu?? subiri october......
katika wapumbavu na wewe umo? hv mnyika na mdee wanafaida gani katika haya majimbo zaidi kuchochea vurugu?? subiri october......
Hawa mabachela hawana jipya