Mnyika na maji ya shingo Kibamba

Mnyika na maji ya shingo Kibamba

Ubora

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
664
Reaction score
255
Makamanda hali ni mbaya sana kwa Mnyika jimbo la Kibamba, hii ni baada ya movement inayoendelea chini kwa chini ya wanachama wa Chadema Asilia na mgombea wao, wanasema ameamua kuwasaliti baada ya kutukuza mafisadi waliovamia chama.

Mikutano ya Mnyika imekosa watu, mbinu anayotumia sasa ni kupita majumbani akiambatana na mateja bila kuweka mikutano ya wazi tofauti na hapo awali.
 
Anaambatana na Mateja tuu, wasomi wengi hawataki hata kumsikia huyo.
 
Makamanda hali ni mbaya sana kwa Mnyika jimbo la Kibamba, hii ni baada ya movement inayoendelea chini kwa chini ya wanachama wa Chadema Asilia na mgombea wao, wanasema ameamua kuwasaliti baada ya kutukuza mafisadi waliovamia chama.

Mikutano ya Mnyika imekosa watu, mbinu anayotumia sasa ni kupita majumbani akiambatana na mateja bila kuweka mikutano ya wazi tofauti na hapo awali.

Ndugu fanya kazi nyingine ya kukuingizia kipato kuliko kutegemea umbea kama huu, hii thread yenye maneno haya unaiweka hapa JF kila baada ya siku tatu nini hasa unatafuta je inamaanisha hauna jipya kabisa ndani ya kichwa chako?
 
Dogo huwa yuko makini akikosa jimboni this time apewe ubunge hata kwa hisani ya watu wa marekani ili awemo tu mjengoni.
 
Mm naishi Kimara ambako ni mgombea ni John Mnyika, ukweli ni kwamba campaign za huyu Mheshimiwa zimedoda sana, sijaona akitumia juhudi binafsi kujihakikishia ushindi, ingawa hata mgombea wa CCM Fenela Mksngala hakubaliki kabisa huku!
 
Yaani wana kibamba wampe Fenela badala ya Mnyika! Hebu tusubiri huo muujiza mkuu kabisa.
 
Makamanda hali ni mbaya sana kwa Mnyika jimbo la Kibamba, hii ni baada ya movement inayoendelea chini kwa chini ya wanachama wa Chadema Asilia na mgombea wao, wanasema ameamua kuwasaliti baada ya kutukuza mafisadi waliovamia chama.

Mikutano ya Mnyika imekosa watu, mbinu anayotumia sasa ni kupita majumbani akiambatana na mateja bila kuweka mikutano ya wazi tofauti na hapo awali.

Serikali ya CCM iliyokuwepo madarakani ambayo Mnyika ni Mbunge imeshindwa kabisa kutatua matatizo makubwa ya umeme na maji.CCM imekwama,tuipumzishe.LOWASSA ANATOSHA.
 
Subili uone kitakachowatokea
 
Kwanza Mnyika hakushinda ndani ya CDM sema alibebwa,sasa kama kwenye chama tu alipigwa chini you can sense what comes
 
Tatizo hana shule, askari wa bunge kuanzia degree, yeye ni form six

Nimeipokea hii kama suprise nlihisi kwamba anaweza kuwa hata ana masters ya kada flani.

Kweli janjajanja na wababaishaji ndo wana nyadhifa nyeti hapa nchini.

Mungu atusaidie what a confused and lost society.

Tanzania nchi yangu nakupenda kwa moyo woote.
 
Dogo huwa yuko makini akikosa jimboni this time apewe ubunge hata kwa hisani ya watu wa marekani ili awemo tu mjengoni.

Labda Lowassa abahatike kuingia ikulu ndio atamchagua mnyika endapo atakosa ubunge!ila Magufuri akiingia Mnyika atabaki history
 
Kwanza Mnyika hakushinda ndani ya CDM sema alibebwa,sasa kama kwenye chama tu alipigwa chini you can sense what comes

Tatzo lako unafikir kwa kutumia Masabur
 
Back
Top Bottom