S/NA | KATA | MRADI | GHARAMA TSH. | HALIHALISI YA UTEKELEZAJI |
| | | | | | |
1 | Kwembe | Ukarabati wa jingo la kutolea huduma ya afya kwa akina mama na watoto (MCH). | 27,245,433.00 | Mradi umekamilika |
| | | | | | |
2 | Ubungo | Kuchangia ujenzi wa police post eneo la Golani (awamu ya kwanza) | 5,991,700.00 | Mradi upo katika hatua ya umaliziaji. |
| | | | | | |
MRADI | GHARAMA TSH | HALIHALISI YA UTEKELEZAJI |
| | | | | | | | |
| Ubungo | Umaliziaji wa kituo cha police msewa(awamu ya pili) | 5,99,1,700.00 | Mradi upo katika hatua ya umaliziaji |
| | | | | | |
Kuchangia ujenzi wa kivuko cha waendao kwa miguu eneo la Mewe Kibo kata ya Ubungo | 5,000,000.00 | Mradi umekamilika |
| | | | | | | | |
Ujenzi wa kivuko cha waendao kwa miguu kwa mtaa wa kibo | 4,500,000.00 | Mradi umetekelezwa |
| | | | | | | | |
3 | Kibamba | Ujenzi wa choo katika shule ya sekondari Hondogo | 22,000,000.00 | Mradi umekamilika |
| | | | | | |
Umaliziaji wa choo cha shule ya sekondari Gogoni | 10,000,000.00 | Kazi haijatekerezwa |
| | | | | | | | |
4 | Mburahati | Ununuzi wa wa madawati 200 ya shule ya sekondari Mburahati Tsh.65,000 | 13,000,000.00 | Madawati 200 yalinunuliwa na kukabidhiwa katika shule ya sekondari Mburahati |
| | | | | | |
Kuchangia Ujenzi wa Kingamaji katika eneo la Barafu kata ya Mburahati | 1,659,000.00 | Mradi umekamilika |
| | | | | | | | |
Kuchangia ujenzi wa kalvati katika eneo la National Housing kata ya Mburahati(awamu ya kwanza) | 4,792,000.00 | Mradi umekamilika |
| | | | | | | | |
Kuchangia ujenzi wa kalvati katika eneo la Nationl Housing kata ya Mburahati(awamu ya pili) | 3,000,000.00 |
| | | | | | | | | |
Kukarabati visima vya maji MBADECO,KWA BI ASIA na ANNA MKAPA na ujenzi wa kalvati eneo la National Housing | 10,500,000.00 | Kazi inaendelea |
| | | | | | | | |
5 | Kimara | Kuchangia vifaa vya ujenzai wa kituo cha police | 2,000,000.00 | Mradi umepatiwa tofali 2,000 za inchi 5 na nondo za mm.16PCS 10 |
| | | | | | |
6 | Saranga | Matengenezo ya barabara ya Kibanda cha mkaa hadi kwa Abasi - Kimara B | 4,000,000.00 | Mradi umekamilika |
| | | | | | |
S/NA | KATA | MRADI | GHARAMA TSH. | HALI HALISI YA UTEKELEZAJI |
| | | | | | |
7 | Mbezi | Kuchangia ujenzi wa kivuko cha waenda kwa miguu eneo la saba kata ya Mbezi | 75,00,000.00 | Mradi hauja tekelezwa na fedha ziko katika akaunti ya kata ya Mbezi |
| | | | | | |
Kuchangia mradi wa maji wa kuweka by pass kwa ajili ya Makabe,Msakuzi na Mpiji Magohe | 4,210,000.00 | Kazi ya kuweka by pass imekamilika |
| | | | | | | | |
Ununuzi wa madawati 120 kwa ajili ya shule ya msingi Msumi kata ya Mbezi | 12,000,000.00 | Madawati yamenunuliwa na kukuabidhiwa katika shule ya msingi Msumi |
| | | | | | | | |
8 | Makurumla | Ujenzi wa kivuko cha waendao kwa miguu katika eneo la Jogingi kata ya Makurumla | 7,000,000.00 | Mradi umekamilika |
| | | | | | |
Kuchangia uchimbaji na upanuzi wa mfereji wa maji ya mvua eneo la daraja la Mwinyi katika kata ya Makurumla | 3,000,000.00 | Mradi umekamilika |
| | | | | | | | |
Kuchangia ukarabati wa madarasa 2 ya shule za msingi Mianzini kata ya Makurumla | 5,000,000.00 | Mradi umekamilika |
| | | | | | | | |
Kuchangia ujenzi wa kivuko kinacho unganisha mtaa wa Kilimahewa | 7,500,000.00 | Mradi umekamilika |
| | | | | | | | |
9 | Mabibo | Ujenzi wa kivuko cha waenda kwa miguu Mabibo kisiwani | 2,500,000.00 | Mradi umekamilika |
| | | | | | |
Ujenzi wa mifereji katika Zahanati ya Mabibo | 2,500,000.00 | Mradi umekamilika |
| | | | | | | | |
| | Mradihaujatekelezeka na fedha za mradi huu zimebadilishwa matumizi.Fedha hizo zilitumika kujenga kivuko cha waenda kwa miguu katika mtaa wa Kanuni |
| | | | | | | | |
S/NA | KATA | MRADI | GHARAMA TSH | HALI HALISI YA UTEKELEZAJI | | | | | | | |
| | Kuhangia mradi wa ujenzi wa daraja linalojengwa kwa nguvu za wananhi mtaa wa Kanuni | 6,000,000.00 | Mradi haujatekelezwa | | | | | | | |
| | | | | | | | | | | |
10 | Msigani | Kuchangia ujenzi wa kivuko cha kudumu Msigani | 3,085,000.00 | Kazi imekamilika | | | | | | | |
Kuchangia mradi wa maji Msigani | 3,500,000.00 | Mradiumekamilika | | | | | | | | | |
11 | Goba | Kuchangia mradi wa maji Goba | 3,000,000.00 | Kazi ilifanyika kwa kulipa sehemu ya bill ya maji | | | | | | | |
Kuchangia ujenzi wa kivuko cha waenda kwa miguu eneo la Kulangwa kata ya Goba | 5,000,000.00 | Mradi umekamilika | | | | | | | | | |
12 | Makuburi | Kuchangia mradi wa maji katika eneo la Makoka - Uluguluni | 10,000,000.00 | Mradi umekamilika | | | | | | | |
Kuchangia ujenzi wa kalvati na matengenzo ya barabara katika eneo la Ubungo Islamic sec.school mtaa wa Kibangu | 10,000,000.00 | Ujenzi umeanza | | | | | | | | | |
13 | Manzese | Kuwawezesha wanakikundi cha usafi wa mazingira ha mtaa wa Muungano kata ya Manzese | 5,000,000.00 | Kikundi kilikabidhiwa fedha kupitia uongozi wa kata ya Manzese | | | | | | | |
Ununuzi wa madawati 120 kwa ajili ya shule za msingi Ukombozi,Manzese,Uzuri na Kilimani | 12,000,000.00 | Madawati ya menunuliwa na kukabidhiwa katika shule za msingi Ukombozi,Manzese,Uzuri na Kilimani | | | | | | | | | |
14 | Sinza | Kuchangia ujenzi wa kituo cha Polie Sinza C | 10,000,000.00 | Kazi ya ujenzi inaendelea | | | | | | | |
| | JUMLA KUU | 2333,302,796.00 | | | | | | | | |
| | | | | | | | | | | |
S/NA | KATA/MTAA | JINA LA KIKUNDI | MRADI | VIFAA WANAVYO HITAJI | MCHANGO WA WANACHI | KIASI KILICHO OBWA | MAONI YA OFISI YA MH:MBUNGE | | | | |
1 | MAKURUMLA/KINONDONI MANISPAA | KINONDONI VIJAZNZA SACCOS | SACCOS | Komputa 3 za thamani ya tshs 1,5000,000.00 kifaa cha kuifadhia fedha (kiasi cha 600,000.00 | | 2,100,000 | 1,100,000 | | | | |
2 | UBUNGO | UMOJAWA WANAWAKE UBUNGO TANESCO | Kutengeneza sabuni | Vifaa vya kutengeneza sabuni | | 2,975,000 | 1,500,000 | | | | |
| | Mapambo na usafiri | Vifaa vya kupambia | | 930,000 | 0 | | | | | |
3 | MANZESE/KILIMANI | PRUDENSI WOMAN SACCOS | Kutotoa vifaranga | Mashine ya kutotoa vifaranga | 500,000 | 2,800,000 | 1,500,000 | | | | |
4 | MBURAHATI | JIPE MOYO WOMAN DEV(JIMOWODE) | Kutengeneza sabuni za maji na vipande | Vifaa vya kutengeneza sabuni | | 5,000,000 | 1,400,000 | | | | |
5 | GOBA | TUINUANE GROUP | | Mashine ya kutotolea vifaranga | 4,000,000 | 1,900,000 | 1,500,000 | | | | |
6 | KIMARA | MELENIA YA TATU | Kushona nguo na kudarizi | Mashine za kushona nguo na kudarizi,mikasi na nyuzi | | 1,000,000 | 1,000,000 | | | | |
7 | KIMARA-BARUTI-KITONGOJI CHA MATETE | JUHUDI GROUP | Kushona nguo na kudarizi | | | 1,000,000 | 1,000,000 | | | | |
8 | MABIBO | GENDER TRAINING INSTITUTE | Center for feminist leadership | Printer hp 400n series (oloured) 450 and · Utp cable 20m
.30,000.00 · Bookshelf 1 kubwa 200,000.00 | | 1,000,000 | 1,000,000 | | | | |
| | JUMLA KUU | | | | | 10,000,000 | | | | |
| | | | | | | | | | | |