Mnyika, mbona huonekani jimboni?

Mnyika, mbona huonekani jimboni?

SINGLE RASHID

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
71
Reaction score
15
Natumain umzima na unaendelea vizuri na majukumu yakoo..mimi ni mpiga kura wangu kaka tena nilikuwa mbele kuona ukiingia madarakani lakini sasa mambo yamekuwa kinyume na sikuone tena huku jimboni kwako Maeneo ya manzese, kwamfuga mbwa na ukombozi....

Ukweli huku hali ni mbaya sana na hatuna pa kukimbilia, huduma ya maji ni kiama, miundo mbinu ni uchafu mtupu, takataka ndo usiseme spidi ya kukusanya hela ya taka ni kubwa kuliko huduma yake, barabara zimeekwa taa ila ziliwaka siku moja na nadhani zitawaka tena siku MH RAIS AKITEMBELEA MANZESE USIKU....! Yapo mengi ya kuongea na wewe kuhusu jimbo lako .........

WAKE UP GUY DON'T LET US DOWN
 
Garagabaho, Mwenzio aache kujitafutia umaarufu kwa kukata rufaa kwa Mhe. Spika kuhusu hukumu Yake aliyoitoa hivi karibuni kuhusu tume ya Mhe. Ngwilizi aje kuhangaika na mitakataka na Maji Jimboni kwako, Kwani amelogwa.
 
Jimbo la Ubungo ni kubwa mno, unataka kila siku awe anashinda nyumbani kwako?
 
nimeipenda hiyo,mr ndo ujue siyo wa ccm au cdm atakaewaletea maendeleo,NINYI WENYEWE WANANCHI NDIO MNAWEZA KUFANYA HIVYO,kwani hata akija mbunge wenu hakuna jipya atakalolifanya
 
Muache atafute umaarufu kwanza atakuja tu.
 
Natumain umzima na unaendelea vizuri na majukumu yakoo..mimi ni mpiga kura wangu kaka tena nilikuwa mbele kuona ukiingia madarakani lakini sasa mambo yamekuwa kinyume na sikuone tena huku jimboni kwako Maeneo ya manzese, kwamfuga mbwa na ukombozi....

Ukweli huku hali ni mbaya sana na hatuna pa kukimbilia, huduma ya maji ni kiama, miundo mbinu ni uchafu mtupu, takataka ndo usiseme spidi ya kukusanya hela ya taka ni kubwa kuliko huduma yake, barabara zimeekwa taa ila ziliwaka siku moja na nadhani zitawaka tena siku MH RAIS AKITEMBELEA MANZESE USIKU....! Yapo mengi ya kuongea na wewe kuhusu jimbo lako .........

WAKE UP GUY DON'T LET US DOWN

Huko jimboni kwenu alishawaaga toka tarehe 31/10/2010, hana alichosahau. Kazi ya hawa jamaa ni kupiga kelele tu na maandamano yasiyo na tija. Muda mwingi anashinda KANISANI pale Kibangu anaombea watu. Katibu wake mkuu (KATIBU MKUU WA CHADEMA) ni PADRI, unafikiri MNYIKA atakuwa nani? Yupo anajinafasi kwa kula mwili wa YESU kanisani.
 
Ni vizuri ukamkumbusha, na si katika JF pekee, kwa kuwa ulimchagua mwambie kinagaubaga na ikiwezekana uso kwa uso. Mabadiliko haina maana kuiondoa CCM bali ni kuondoa walalao usingizi, wezi, walaghai, wapenda rushwa, madhalimu, wabaguzi na wapenda anasa. Asipoweza awaambie viongozi wa M4C wampe kazi ingine wengine tusonge mbele. Kiongozi ahakikishe macho na masikio yake ni makubwa kuliko mdomo.
 
We ushawahi kwenda kwenye mkutano hata mmoja wa Mnyika?
 
Natumain umzima na unaendelea vizuri na majukumu yakoo..mimi ni mpiga kura wangu kaka tena nilikuwa mbele kuona ukiingia madarakani lakini sasa mambo yamekuwa kinyume na sikuone tena huku jimboni kwako Maeneo ya manzese, kwamfuga mbwa na ukombozi....

Ukweli huku hali ni mbaya sana na hatuna pa kukimbilia, huduma ya maji ni kiama, miundo mbinu ni uchafu mtupu, takataka ndo usiseme spidi ya kukusanya hela ya taka ni kubwa kuliko huduma yake, barabara zimeekwa taa ila ziliwaka siku moja na nadhani zitawaka tena siku MH RAIS AKITEMBELEA MANZESE USIKU....! Yapo mengi ya kuongea na wewe kuhusu jimbo lako .........
WAKE UP GUY DON'T LET US DOWN
kaka single rashid, naomba nikujuze kutoka na maoni yako, 1. kuhusu maji mtaa wa mnazi mmoja kama wewe ni mkazi wa manzese na unafuatilia vyombo vya habari utaonajinsi wakazi wa manzese walivyoandamana kwa ajili ya kudai maji, lakini tatizo hilo la maji linatokana na DAWASCO kukata maji katika viosk vyao ya kutolipwa bili yao ya maji. na hii inatokana na m/kiti wa serikali ya mtaa wa mnazi mmoja bw E.S kimaro (ccm) kura fedha za makusanyo ya maji kiasi cha milioni saba (7,000,000.00) na hii ndio imepelekea dawasco kukata maji.

vile vile hata kwa mtaa wa mvuleni, midizini, muungano na uzuri vioski havitoi maji sababu ya hujuma ya wananchi na ubadhirifu wa viongozi wa mtaa.

pili kuhusu ushuru wa fedha wa taka, hili suala lipo chini yako kwani hakuna sheria inayomruhusu mtu au chombo kukusanya fedha za taka pasipo kukubalina katika mkutano wa maendeleo wa mtaa na kuweka kiwango cha michango. je m/kiti wa s/mtaa ameitisha mikutano mingapi ya kusoma mapato na matumizi toka achaguliwe.

je kama aliitisha je uliudhuria na mkakubaliana kiwango hicho cha mchango wa taka, na kama hajaitisha (kwa mujibu wa sheria ya s. ya mtaa ni mara moja kila baada ya miezi mi2) kwanini usikatae kutoa hiyo fedha ya mchango wa taka hadi pale atakaposoma mapato na matumizi (wajibu wako na si wa mbunge). kuhusu barabara, naona barabara ya manzese midizini inaendelea na ujenzi wa kiwango cha lami nyepesi (double surface dressing), barabara ya mtaa wa chakula bora imeshawekwa lami nayo na inapitika vizuri, mto ng'ombe nao umesafishwa vizuri, kutanuliwa na kuongezewa kina hali iko poa.

barabara morogoro eneo la manzese ni pa bovu sababu ujenzi unaendelea wa mabasi yaendayo haraka so kuharibika kwa barabara lazima kuwepo wakati ujenzi unaendelea. na kuhusu kufika mnyika amekuja mara nyingi sana manzese kuliko kata nyingine kabla hajaenda bungeni alifika maeneo ya kijiwe cha madalali (magila) wa manzese na kunywa nao kahawa na kubadilishana mawazo.
 
Jamani so mnataka kila alipomuonane nae? He has to rest too
 
Siyo Manzese pekee, hata Kimara Baruti kuna shinda ya maji kupita kiasi, shida ya maji ndio iliyomtoa mbuge aliyemtangulia, nashangaa hata yeye amesahau, nadhani amechoka kuwa mbuge, shida iliyotufanya tukuchague haujaitekeleza hata chembe, ukiendelea hivyo jiandae kuwakabithi jimbo magamba maana hautakuwa na cha kusema.
 
Yule dogoo 2015 harudi.Amejaa misifa tu mungu amsaidie miaka yake miwili.Abaki na ukatibu wenezi wake ndo unamfaa.
 
Watu wengine bana! Leo ndo unajua mbunge wenu haonekani jimboni. Mbona ile miaka kumi ya Keenja haonekani bungeni wala jimboni mlikuwa hamuoji chochote??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Siyo Manzese pekee, hata Kimara Baruti kuna shinda ya maji kupita kiasi, shida ya maji ndio iliyomtoa mbuge aliyemtangulia, nashangaa hata yeye amesahau, nadhani amechoka kuwa mbuge, shida iliyotufanya tukuchague haujaitekeleza hata chembe, ukiendelea hivyo jiandae kuwakabithi jimbo magamba maana hautakuwa na cha kusema.
utasubili sana kama wafuasi wa kibwetere..........., hiyo kimara ametoka kuzindua visima vya maji na waziri wa maji kabla hajaenda bungeni, kisima king'ongo, kilungule, mavurunza, malamba mawili (maji chumvi sana ila wataalam wameshachukua sampuli kwa ajili ya hatua zaidi), mburahati.

na hali ya upatikanaji wa maji wa sasa huwezi ukaufananisha na kipindi cha utawala wa magamba. na hoja binafsi ya maji itajadiliwa bunge lijalo, hata kama serikali walibloki kwa kuleta 'kauli ya serikali ya kuondoa tatizo la maji dsm na kutenga zaidi ya bilioni 256' na huu ni mwanzo tu, utasubili sana watu wanapiga tu kazi.
 
Back
Top Bottom