Mnyika kurindima kesho tarehe 24/4/2015 manispaa ya Singida

Mnyika kurindima kesho tarehe 24/4/2015 manispaa ya Singida

we nyaturu au mnyeramba wa wapi, wenzako huku ikungi tunajuta kumchagu Lissu hakuna chochote alichotusaidia badala kuwa fundi wa kuomba miongozo ya kijinga amabayo haitusaidi tuliompigia kura

Hebu tupe matokeo ya uchaguzi was serikali za mitaa hapo Ikungi! mwaka huu mtaharisha cheche vibaraka wa mafisadi nyinyi
 
Back
Top Bottom