mnyika unajisumbua tu kwa wana singida hatudanganyiki tumeshavua gwanda na kuvaa uzalendo, tuone kama utavunja rekodi ya ACT Wazalendo hiyo kesho, halafu kumbuka ubungo hawana maji ya kuoga na hao ndio waajili wako,
haa haa inawezekana ni kweli mnyika asiweze kuvunja rekodi ya zitto, maana kwenye mkutano wa zitto singida ulizaja wanaccm wengi sana!mnyika unajisumbua tu kwa wana singida hatudanganyiki tumeshavua gwanda na kuvaa uzalendo, tuone kama utavunja rekodi ya ACT Wazalendo hiyo kesho, halafu kumbuka ubungo hawana maji ya kuoga na hao ndio waajili wako,
haa haa umempa live mkuu.Kwetu sisi wanyaturu na wanyiramba, tumeshajitambua. Huwezi kuuvaa uzalendo. Uzalendo uko ndani ya mioyo yetu.
Tunavaa gwanda kuulinda uzalendo uliondani yetu. Gwanda ni vazi la mwanajeshi aliyeapa kuifia nchi yake. Ni vazi la mzalendo namba mmoja. Tutavaa magwanda kuonesha dhamira ya kuifia nchi yetu kivitendo.
Si maneno ya Jukwaani.
CCMact oyeeeeeee!!
Hekaheka za kumpokea kamanda naibu katibu mkuu CHADEMA bara, mhe.J.J Mnyika zimeanza ambapo inatarajiwa kesho kuanzia saa 8.00 mchana atahutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya peoples! Nitakuwepo hapa jamvini kuwapa updates.
mnyika unajisumbua tu kwa wana singida hatudanganyiki tumeshavua gwanda na kuvaa uzalendo, tuone kama utavunja rekodi ya ACT Wazalendo hiyo kesho, halafu kumbuka ubungo hawana maji ya kuoga na hao ndio waajili wako,
we nyaturu au mnyeramba wa wapi, wenzako huku ikungi tunajuta kumchagu Lissu hakuna chochote alichotusaidia badala kuwa fundi wa kuomba miongozo ya kijinga amabayo haitusaidi tuliompigia kura
mnyika unajisumbua tu kwa wana singida hatudanganyiki tumeshavua gwanda na kuvaa uzalendo, tuone kama utavunja rekodi ya ACT Wazalendo hiyo kesho, halafu kumbuka ubungo hawana maji ya kuoga na hao ndio waajili wako,
Hiyo slogan nimemkumbuka nape alipokuwa akisema vua gamba, vua gwanda, vaa uzalendo, naona ss ccm wamewapa na slogan tiar
Binafsi nawapongeza singida kwa kulipatia taifa kamanda lisu, hongera singida, mmelitendea haki taifa letu! Nina imani kesho mtampokea kamanda mnyika vizuri.
Tanzania nzima, Singida inahitaji attension kubwa sana! Hasa singida mjini, wamewekwa kwapani na yule mhindi mwarabu! Ni aibu sana! Bora makamanda waende labda watafunguka! Najiskia vibaya sana tunavyofananishwa na mazezeta! Singida ndio ya kwanza kwa kuipa ccm kura nyingi na hiyohiyo ya mwisho kwa maendeleo! Aibu sana!