Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,409
Habari za chini ya carpet zinadai Naibu Katibu Mkuu Mh John Mnyika kuondolew muda wowote ktk wadhifa wake. Taarifa za ndani kabisa kutoka chadema wahamiaji au chadema Alpha Drycleaner zinadai kuwa nafasi ya Mnyika itashikiliwa na mh Ruth Molel ili kubalance gender katika chama hicho. Ruth Molel ambaye kwa sasa ni Mbunge wa viti Maalum kutokana nafasi tano aliyopewa Mh Lowassa kutoa zawadi kwa wafuasi wake pia amewai kuwa katibu mkuu ktk wizara mbalimbali ikiwemo ofisi ya Waziri Mkuu. Mtoa taarifa imedai kuwa Mh Lowassa hana Imani na Mnyika kutokana na kiongozi huyo mwandamizi wa cdm kutokubaliana na Lowassa ktk chama jambo linamfanya kuona ukakasi kumtaja lowassa, pia inadaiwa kuwa Mh Mnyika anahoji nafasi ya Lowassa ktk chama icho kiasi cha kupewa kipaumbele kuliko Sumaye wakati wote wana nafasi sawa km mawaziri wakuu na wajumbe wa Kamati Kuu.
My take: John Mnyika chama siyo cdm tu uking'ang'ania watakuja kukudhalilisha tafuta hifadhi mapema
My take: John Mnyika chama siyo cdm tu uking'ang'ania watakuja kukudhalilisha tafuta hifadhi mapema