Mnyika kukata rufaa hukumu ya Spika

Mnyika kukata rufaa hukumu ya Spika

Hata mie kwangu kimara baruti! Ambagae Kama unataka Mnyika akuletee maji hapo ulipo subiri huo muujiza! Ulishindwa kuilalamikia ccm iliyokaa tangu uhuru miaka hamsini ulalame leo? Una yako ww! Jipangeee
 
Hili liko wazi kwani tume yenyewe haikustahili maana haikuwa independent. Wabunge hawawezi kuwahukumu wabunge katika kesi kama hiyo. Pili ni njia (methodology & Technics) iliyotumika kukamilisha kazi. Rushwa haithibitiki kwa kuwaita tu watu na kuwahoji. Ni upuuzi sana.

Tatu, mbona mwenyewe Makinda naye alisikia habari hizo bungeni akaruka juu na kuivuja kamati; yeye ndiye alikurupuka kuliko yeyote maana kwa kufanya hiyo alikuwa antoa adhabu. Sasa ambacho hatukusikia ni Onyo toka kwa Makinda spika kwende kwa Makinda aliyekurupuka.
Huo ni uamzi wao lakini umma unajua kuwa kuna marekesho makubwa tumeanza kuyaona tokana na watendaji wa sasa wa Wizara ya Nishati na madini ukilinganisha na waliyekuwepo na unavyowakatisha tamaa watendaji wazuri unawafundisha nao kuingia katika 'business as usual habit'
 
Mimi naona wewe unaweza kufanya vizuri kuliko unayemtetea. 2015 jitokeze basi.

Mkuu sina nia ya kumtetea Mnyika,bali nina nia ya kukuamsha wewe na wa-Tz wenye mawazo kama wewe usingizini mtambue nani mnayepaswa kumwonyesha kuwa mna hasira juu ya kero sugu ya maji, pamoja na kero nyingine mbali mbali wakati mnachunwa ngozi mkiwa hai kutokana na kodi mnazotozwa kila upande!! Tafakari!!!
 
Je Mhe. Mnyika hiyo rufaa yako itatumalizia wana Ubungo tatizo la Maji Au la. Ohhh usitulaumu 2015 wewe kalia ya kujitafutia umaarufu wakati sisi wapiga kura wako tuna kero kibao na huzishughulikii. Rufaa hizo 2015 zitakupigia kura.

Wewe mshenzi kweli, siunakaa segerea kwa mahongolo na ndiye mbunge wako ubungo unafuata nini wewe? Au una nyumba ndogo kule?
 
Ubungo mchagueni Nape basi 2015, maana wadanganyika mmezoea sana kudanganyika. Nikiambiwa unataka uzaliwe wapi ukifa nitatoa masharti kwamba mkitaka nizaliwe Tanzania kwanza watu fulani wafe. List ninayo
 
Je Mhe. Mnyika hiyo rufaa yako itatumalizia wana Ubungo tatizo la Maji Au la. Ohhh usitulaumu 2015 wewe kalia ya kujitafutia umaarufu wakati sisi wapiga kura wako tuna kero kibao na huzishughulikii. Rufaa hizo 2015 zitakupigia kura.

Hivi wale wabunge ambao hawana kesi wala si machachari kama Mnyika wapewapelekea maji wapiga kura wao? Je mbunge wenu wa kwanza ambae hakuwa machachari kama Mnyika aliwaletea maji?
 
Je Mhe. Mnyika hiyo rufaa yako itatumalizia wana Ubungo tatizo la Maji Au la. Ohhh usitulaumu 2015 wewe kalia ya kujitafutia umaarufu wakati sisi wapiga kura wako tuna kero kibao na huzishughulikii. Rufaa hizo 2015 zitakupigia kura.
Ndugu yangu;1. Watu wapo kwa masuala ya Kitaifa zaidi na wala si ya Kijimbo,2. Ukishughurika na suala la Kitaifa, Ubungo kama jimbo litakuwepo,3. Suala la maji Dar likiwemo jimbo lako la Ubungo, ni suala la kimtambuko zaidi, Mbunge kama yeye, hawezi kulitatua peke yako,4. Hembu upe kazi ubongo wako kwa kufikiri kwa mapana kidogo na sio kijimbo kijimbo.
 
Je Mhe. Mnyika hiyo rufaa yako itatumalizia wana Ubungo tatizo la Maji Au la. Ohhh usitulaumu 2015 wewe kalia ya kujitafutia umaarufu wakati sisi wapiga kura wako tuna kero kibao na huzishughulikii. Rufaa hizo 2015 zitakupigia kura.

Tatizo la maji ni la Dar es Salaam na Tanzania nzima, acha ubinafsi. Sehemu nyingi Dar watu hawajui maji ya bomba kwenye nyumba zao. Mhe. Nyika ni jembe na mtetezi wa watanzania. Acha atetee umma wa watanzania, yeye siyo DAWASCO! Anafanya kazi yake, sasa kama watendaji wanamuangusha unataka atumie posho yake kukuletea wewe maji?
 
Hakika 2015 awe amejiandaa kuwa mpiga viatu rangi wa mbowe.Huu rudi wewe tumekuchoka tayari.Yule jamaa alikwambia unawashwa sidhani kama alikosea
 
Ukiitwa mpumbavu nadhani utaridhika, kwani Mnyika ni mhandisi wa maji? Hoja yake binafsi kuhusu maji ubungo imepigwa kalenda na spika wako wa CCM, sasa ulitaka Mnyika afanye nini zaidi? Mijitu mingine hamfai hata kuendelea kuvuta hewa hii kwa sababu hamna mchango mwigine zaidi ya kuchafua mazingira na vinyesi vyenu!
 
Bahati nzuri sana mijitu wenye mtindio wa ubongo kama wewe mpo wachache sana, kwa hiyo kura zenu zenye mlengo wa kidini hazitakuwa na madhara yoyote!
 
Hakika 2015 awe amejiandaa kuwa mpiga viatu rangi wa mbowe.Huu rudi wewe tumekuchoka tayari.Yule jamaa alikwambia unawashwa sidhani kama alikosea

Kwahiyo 2015 Mnyika hana chake jimbo la Ubungo na CDM watakuwa hawaaminiki tena!
 
Wewe nina hakika elimu yako ni duni au una chuki binafsi. Au uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana

Elezea kwa kinagaubaga Kwani aliyekupa wewe uwezo wa kufikiri ndiye huyo huyo aliyeninyima Mimi uwezo huo. Naonba unisaidie. Ila angalia usipwaye
 
Ukiitwa mpumbavu nadhani utaridhika, kwani Mnyika ni mhandisi wa maji? Hoja yake binafsi kuhusu maji ubungo imepigwa kalenda na spika wako wa CCM, sasa ulitaka Mnyika afanye nini zaidi? Mijitu mingine hamfai hata kuendelea kuvuta hewa hii kwa sababu hamna mchango mwigine zaidi ya kuchafua mazingira na vinyesi vyenu!

Sisi hatujali Kama yeye Ni Mhandisi wa Maji Au vinyesi Cha Muhimu Ni kuhakikisha kero zetu anazishughulikia ipasavyo Kama alivyoahidi wakati akijinadi
 
Tatizo la maji ni la Dar es Salaam na Tanzania nzima, acha ubinafsi. Sehemu nyingi Dar watu hawajui maji ya bomba kwenye nyumba zao. Mhe. Nyika ni jembe na mtetezi wa watanzania. Acha atetee umma wa watanzania, yeye siyo DAWASCO! Anafanya kazi yake, sasa kama watendaji wanamuangusha unataka atumie posho yake kukuletea wewe maji?

Unamsemea Kwani mkweo
 
Back
Top Bottom