Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,108
KAMANDA mpambanaji wa CHADEMA john john mnyika anatarajiwa kuibua ufisadi unaofanyika kwenye jimbo la ubungo na manispaa ya kinondoni kwa ujumla habari hizo toka chini chini zinasema mbunge huyu kijana anakamilisha dondoo za mwisho mwisho ilikuibuka kamili katika tuhuma hizo wamo vigogo amabao wamekwisha anza kuvyamia badhi ya maofsi na kutoweka na baadhi ya nyaraka hizo ili kamanda MNYIKA asifanikishe adhima yake na BAADHI ya tuhuma hizo ni zile za aridhi ambazo kuna wakubwa wamelindwa huku baadhi ya watumishi wakiadhibiwa na akubwa hao kuendleea kupeat kilaini ........ mungu mbariki mnyika katika kufanikisha adhima yake ya kutetea umma wa ubungo na watanzania kwa ujumla keep it up mnyika
Junius,Mnyika namuombea kila la kheri, na Mungu atamuwezesha kuwashinda CCM jimboni humo...ila ushauri wangu wa bure aachane na kampeni nyepesi nyepesi kama hizo, ajipange kama Januari Makamba vile kuwaelezea wananchi wa Ubungo atawafanyia nini wakimpa ubunge?
Jasusi,
Kujipanga ni kitu upekee cha mgombea kinachomtafautisha na wagombea wengine...kama Januari Makamba kaandika kitabu (kumbukumbu zangu ni kuwa kitabu hicho pia kitapatikana kwa lugha ya kiswahili) walau katwambia kile alichokuwa nacho moyoni mwake na anachokusudia kuwaambia wananchi wa Bumbuli wamchague, na Mnyika naye ajipange kitofauti na wagombea wengine..habari za ufisadi kama ndo kigezo basi jimbo la Ubungo angegombea Lukuvi!
KAMANDA mpambanaji wa CHADEMA john john mnyika anatarajiwa kuibua ufisadi unaofanyika kwenye jimbo la ubungo na manispaa ya kinondoni kwa ujumla habari hizo toka chini chini zinasema mbunge huyu kijana anakamilisha dondoo za mwisho mwisho ilikuibuka kamili katika tuhuma hizo wamo vigogo amabao wamekwisha anza kuvyamia badhi ya maofsi na kutoweka na baadhi ya nyaraka hizo ili kamanda MNYIKA asifanikishe adhima yake na BAADHI ya tuhuma hizo ni zile za aridhi ambazo kuna wakubwa wamelindwa huku baadhi ya watumishi wakiadhibiwa na akubwa hao kuendleea kupeat kilaini ........ mungu mbariki mnyika katika kufanikisha adhima yake ya kutetea umma wa ubungo na watanzania kwa ujumla keep it up mnyika
kamanda mnyika ndiye aliye kuwa chaguo la ubungo ndiyo maana namuita mbunge wa ubungo na si yule wa kupewa so tupo naye bega kwa begaMkuu Kilewo,
Tangu lini Mnyika amekuwa mbunge? Au ndiyo tunguli lenyewe....mmmh. No matter what namuombea kila la KHERI mpiganaji Mnyika na wengineo katika vinyang'anyiro vya ubunge popote Tanzania.