Mnyika kinara bungeni



Mbona haya huwa anayafanya, msome hapa: Mh Mnyika: "Michango kwa ajili ya Barabara ya Maziwa-External Mandela, kifusi sasa; lami itafuata" ~ Kulikoni Ughaibuni hizo barabara zingine zote ulizozisema alihamasisha zikatengenezwa, ile ya Bonyokwa na hata ya King'ongo lakini zimewahiribiwa tena na mvua katika miezi ya karibuni. Ni vyema akaja tena akaeleza anakusudia kuchukua hatua gani za ziada.

serayamajimbo
 
bunge la sasa linatisha, watu kama Myika,Zito wanatisha ,wengine waige mfano wao na si kusinzia mjengon!!!!
 
Halafu hana haja ya kuwa king`ang`anizi wa Urais.Time Ikifika kama kusukuma mlevi vile.
 
Mbona Kama Lissu ana jumla ya 119 wakati Zitto ana jumla ya 113?
 
Huyo si bado mwanjomwanjo, ndio mwaka mara yake ya kwanza bungeni ana moto, sijui kama atakuwa na nyingine ya kuchaguliwa.

Na Zitto aliwaonya wabakishe maneno....sasa angalia Slaa hana jipya
 
Mbona Kama Lissu ana jumla ya 119 wakati Zitto ana jumla ya 113?

hii haijakaa sawa kabisa....yawezekana some manipulations...kama kigezo ni jumla ya michango ya mbunge basi tundu ni wa pili...au siyo?
 
Kimbunga mbona unakuwa na roho ya kijicho dhidi ya Mnyika?
Mkuu mbona unachekesha walionuna, kwamba temeke iko juu ya ubungo, kwa kitu gani?
Unawezaje kulinganisha utumishi wa Mnyika wa miaka miwili na nusu dhidi ya miaka kumi ya keenja? Kitu gani alichofanya keenja unachoweza kukitaja kama mafanikio dhidi ya mnyika?
Mara moja moja ujitahidi kuficha chuki zako zisizo na msingi wowote. Kazi aliyoifanya Mnyika katika kipindi hiki kifupi hakuna mbunge yeyote wa ccm aliyemfikia.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Maranya
Mnyika hajafikisha hata miaka miwili na nusu.Ametimiza mwaka mmoja na miezi kama kumi tu...
 
Last edited by a moderator:
Ukimuona mbunge hajatimiza alichoahidi....subiri miaka mitano kisha mpige chini,chagua anayeweza...
Mabadiliko huchochea maendeleo...
 
The guy is so consistent hana haraka na si mpenda sifa za kishamba. Niliwahi interact naye mara moja pamoja na kuwa somehow disapointed lakini now have come to learn its gud of him kwani in this way si rahisi kuingia kwenye mitego ya ku mwangusha....Go Mnyika you are man of honour!
 
Jembe kaza buti, japo kuna wanaokukejeli na kukubeza! Big up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…