Mnyika, Kafulila Live Star TV

Mnyika..vipaumbele vielekezwe kwa mambo yanayowahusu watanzania
 
madeni ya walimu ambayo ni genuine hayalipwi lakini serikali inakimbilia kulipa dowans, walimu wanashuka morali, watoto wa walala hoi wanafeli
 
Mjadala ni mzuri.wote wanaongea na kujenga hoja vizuri sana.ingawa kafulila ni bendera fata upepo na siku zote hana misimamo yake binafsi,lakini ni mjenga hoja mzuri mwenye uwezo wa kusimamia hoja zake.na.mnyika nae ni supa mbunge.mama Rwakatare kakimbia,angeumbuka leo maana hana upeo wa yanayojadiliwa hapa
 
Inasemekana watu wanaotoka Kigoma ni good talkers, lakini misimamo yao ni kama nyumba ya mchanga mtupu!
 
Back
Top Bottom